Kwa sasa wanawake wanajiamini Sana kuliko Wanaume; Vijana wengi wamekuwa mazuzu

Ni hatari sana mkuu.. Hii generation kutoa watu kama Akina Mugabe ni kazi sana[emoji23][emoji23]

Wanaume wengi sana lilia zimekuwa nyingi mpaka mademu wanaona bora wafanye dating wenyewe kwa wenyewe yani

Alafu ATI ndio ujitoe mhanga uwapiganie kisiasaπŸ˜€πŸ˜€ utakuwa umesogeza Kete Mbaya Sana ambayo itakufanya upigwe Super
 
Alafu ATI ndio ujitoe mhanga uwapiganie kisiasa[emoji3][emoji3] utakuwa umesogeza Kete Mbaya Sana ambayo itakufanya upigwe Super
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Yes.. Enzi hizo mnabeba kuni kwenye baiskeli mlikuwa mnaadabu sana kudadeki zenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Saiv wala hatunaa stress sisiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…nyiee sasa kutwaa nyuzi za kulialia humu tunawachora tuuu...saiv tuna mbinu zetu tumezitengenezaa walaa hatuna habariiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wanawake wapo wengi sana na wote wanatuhitaji sasa Mtu unajigawa vipi Mkuu?

Supply ni kubwa kuliko demand
Mimi Mwenyewe Nina dada zangu kumi wamekosa wanaume was kuwapa ndoa

Kiufupi wanawake wapo wengi na huwezi kuwatomba wote so wengine acha wawe tu femminism
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Nini kifanyike sasa. Hujasema. Kwa uzito uleule ulioandika hii makala ndefu ulipaswa kutupa WAY FORWARD aka MUONO WA MBELE kwamba nini tufanye ili Vijana wetu wawe bora zaidi.

Kalomo mfyeto
OVA
 
Nini kifanyike sasa. Hujasema. Kwa uzito uleule ulioandika hii makala ndefu ulipaswa kutupa WAY FORWARD aka MUONO WA MBELE kwamba nini tufanye ili Vijana wetu wawe bora zaidi.

Kalomo mfyeto
OVA

Kila hoja niliyotoa nimetoa na way-foward,
Soma vizuri
 
Marekani wanawake weusi wanpewa kipaumbele kwenye suala la elimu na kazi na ndio maana wana maendeleo kupita wanaume weusi, pia hapa bongo huu mfumo unakuja kwa kasi hivyo mwanaume yeyote inabidi kuwa mwanaume ili uishi.
 
Sio wamekuwa mazuzu tu, bali vijana wengi wamekuwa kama mandochocha wanalofanya hawajui na wanachotaka kufanya hawajui.
 
Kaka umezungumzia vijana wa wapi?????Maana vikana tupo wengi na wa aina tofauti tofauti kaka!!!
 
Did you pray today
 
Dada kumi mmmh interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…