Kwa sheria za Tanzania hii watafungwa wengi

Ali Nassor Px

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2022
Posts
2,433
Reaction score
4,043
Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.

Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili.

Sasa kuna haja gani ya marekebisho kama huyu anaeenda kuhukumiwa kwa kutumia hiyo sheria hajui anahukumiwa kwa sheria gani

Na pia hawezi kujitetea kwa kutoelewa kwa lugha inayotumika ndani ya mahakama.

Wazo langu kabla ya kurekebisha sheria. viongozi walitakiwa kurekebisha lugha inayotumika
 
Bunge la Tanzania linatunga sheria kweli?

Tuna wasomi ama wachumia tumbo?
Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.

kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili.

Sasa kuna haja gani ya marekebisho kama huyu anaeenda kuhukumiwa kwa kutumia hiyo sheria hajui anahukumiwa kwa sheria gani

na pia hawezi kujitetea kwa kutoelewa kwa lugha inayotumika ndani ya mahakama.

Wazo langu kabla ya kurekebisha sheria. viongozi walitakiwa kurekebisha lugha inayotumika
 
Umeshindwa hata kutaja hiyo sheria ni ipi? Ulikuwa unakimbilia wapi?
mkuu najuaje sheria hipi wakat me mwenyew nmesikia marekebisho ya sheria lakin kilichoongeleka kwenye ayo marekebisho sijaelewa.
 
Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.

Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili.

Sasa kuna haja gani ya marekebisho kama huyu anaeenda kuhukumiwa kwa kutumia hiyo sheria hajui anahukumiwa kwa sheria gani

Na pia hawezi kujitetea kwa kutoelewa kwa lugha inayotumika ndani ya mahakama.

Wazo langu kabla ya kurekebisha sheria. viongozi walitakiwa kurekebisha lugha inayotumika
Sheria gani hiyo unayoitaja mbona hueleweki, andika kwa ufanunuzi watu waelewe unachokikusudia
 
Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.

Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili.

Sasa kuna haja gani ya marekebisho kama huyu anaeenda kuhukumiwa kwa kutumia hiyo sheria hajui anahukumiwa kwa sheria gani

Na pia hawezi kujitetea kwa kutoelewa kwa lugha inayotumika ndani ya mahakama.

Wazo langu kabla ya kurekebisha sheria. viongozi walitakiwa kurekebisha lugha inayotumika
Kutojua sheria (kwa lugha au tafsiri yake) sio utetezi, UTAFUNGWA tu[emoji16]

Vv
 
Mleta mada mtu hafungwi kwa kutoijua sheria, bali anafungwa kwa kosa alilofanya linaloendana na kifungu husika cha sheria alichokivunja.

Hivyo ulivyoandika sheria inaenda kumfunga mtu umekosea, hiyo sheria haiwezi kwenda kukuchukua nyumbani bila kosa ikakufunge mahakamani, bali kosa lako ndio litaifanya sheria ikufunge.

Nijuavyo, sheria zetu nyingi zipo ksa lugha ya malkia, kasoro Katiba tu ndio nimeona ina toleo la Kiswahili.
 
Natamani kuona wabunge wa form four na wale wa darasa la saba wakitolewa nje kwenye vikao vinavyojadili mambo yaliyo nje ya uwezo wao.

Lakini bunge hili linasikitosha, hamna tofauti ya msomi na ngumbaru, wote kazi yao ni kusema....... ndio mzeeeee. Hamna reasoning
 
Back
Top Bottom