Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,433
- 4,043
Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.
kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili.
Sasa kuna haja gani ya marekebisho kama huyu anaeenda kuhukumiwa kwa kutumia hiyo sheria hajui anahukumiwa kwa sheria gani
na pia hawezi kujitetea kwa kutoelewa kwa lugha inayotumika ndani ya mahakama.
Wazo langu kabla ya kurekebisha sheria. viongozi walitakiwa kurekebisha lugha inayotumika
Bunge la Tanzania linatunga sheria kweli?
Tuna wasomi ama wachumia tumbo?
mkuu najuaje sheria hipi wakat me mwenyew nmesikia marekebisho ya sheria lakin kilichoongeleka kwenye ayo marekebisho sijaelewa.Umeshindwa hata kutaja hiyo sheria ni ipi? Ulikuwa unakimbilia wapi?
Na kina Babu Tale FA!Cha kushangaza wabunge wa darasa la Saba wataipigia kura ipite uku hajui abcd hii nchi ngumu Sana ase
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sheria gani hiyo unayoitaja mbona hueleweki, andika kwa ufanunuzi watu waelewe unachokikusudiaMda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.
Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili.
Sasa kuna haja gani ya marekebisho kama huyu anaeenda kuhukumiwa kwa kutumia hiyo sheria hajui anahukumiwa kwa sheria gani
Na pia hawezi kujitetea kwa kutoelewa kwa lugha inayotumika ndani ya mahakama.
Wazo langu kabla ya kurekebisha sheria. viongozi walitakiwa kurekebisha lugha inayotumika
Kutojua sheria (kwa lugha au tafsiri yake) sio utetezi, UTAFUNGWA tu[emoji16]Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.