Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Friends, ladies and gentlemen..
Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa wananchi wake kuhusu mambo mengi ya msingi ya maendeleo jimboni kwake ukilinganisha na kipindi kilichopita, jambo ambalo si baya wala geni kwa siasa za Africa,
but I think, let things you have done speak for themselves...
lakini pia inaonekana anatumia pesa na gharama kubwa mno katika kujiimarisha na kujibrand vile vile tofauti kabisa na kipindi kilichopita ndani ya jimbo la Kisesa.. What are really inspires or forced mpina do do all these?...
kuna msukumo gani unamfanya huyu muungwana awe bize kujibrand kwa namna ya kipekee namna hii hasa kipindi hiki, tofauti na kipindi kilichopita? Anajiandaa hivi, kwani kuna nini hasa, au ameona na kugundua nini cha tofauti huko mbele?
Kwa maelezo yake mwenyewe, inaonekana tayari ame sense na kuingiwa hofu na kiwewe cha uchaguzi wa 2025, na kwamba amebaini kumbe kuna wananchi wengine wa Jimbo la uchaguzi la Kisesa wanaimendea nafasi ya ubunge wa Jimbo hilo muhimu la kisesa huko kanda ya ziwa..
ukimpima kwa kumtazama body language yake, tone yake anapo zungumza, ukicheki facial expressions yake, rangi ya mavazi yake na style ya mavazi yake na wasaidizi wake, aina ya printing ya vipeperushi na t-shirts,
ulinzi wake na aina ya watu anao ongozana nao, viongozi na wanasiasa anao ambatana nao kwenye mikutano yake, approach anayotumia kuwainfluence wananchi wake, ili wamuamini na kumkubali zaid n.k,
vinaashiria jambo fulani linaandalwa nyuma ya pazia...
Lakini jambo lingine muhimu zaidi kisiasa kwa muungwana huyu, ni ile chemistry na flow ya maswali ya wananchi na majibu ya mh. mbunge Luhaga Mpina hususani jana alipokua ziarani jimboni kwake, ilikua wazi rehearsal ilifanyika vizuri sana na performance in actions ilikua sawa sawia..
Kitu kingine muhimu sana kisiasa katika siasa za ndugu mpina, ni kukosekana kwa baadhi ya viongozi waandamizi muhimu wa CCM, wa kata na wilaya katika Jimbo analoliongoza Luhaga Mpina, na lakini pia hapakutolewa udhuru wa kiongozi yeyote. Mara zote muungwana ameambatana na diwani wa kata husika pekee. kulikoni iwe hivyo? hili nalo lina ujumbe mzito ulojificha dhidi ya uelekeo wa siasa za mh.Luhaga Mpina na mustakabali wake ndani ya CCM kuanzia kwenye Jimbo lake la Kisesa.
kibobevu zaidi,
unadhani Mh.Luhaga Mpina anawaandaa wananchi wake kisaikolojia kwaajili ya ujio wa chama kipya ambacho huenda anajipanga kuja nacho au anawaandaa wanakisesa kuhama nao upinzani?🐒
Mungu Ibariki