Uchaguzi 2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

Uchaguzi 2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

Wewe jamaa nakupuuza rasmi. Inaonekana unajua kusoma, kuandika na kuhesabu tu. Unachokiandika kinaakisi uelewa wako. Kujibishana na wewe ni sawa na kuongea na mtoto wa miaka 3.
Sema tu umeshindwa kujibu hoja
 
Million 50 kila KIJIJI Ahadi haijatimia hadi sasa

Ajira hakuna ukilinganisha na IDADI ya WAHITIMU kila mwaka

BUNGE halipo LIVE mwaka wa 5 sasa hatuna UELEWA wa KUTOSHA kuhusu MIRADI WANAYOISIFIA kila KUKICHA

TUWE SERIOUSLY Tz NI YETU SOTE
Mbona unang'anyania vya bure
 
LISSU ONE AND ONLY ONE

kwa siasa za sasa nani angethubutu kumwekea pingamizi Magufuli. Achilia mbali kama pingamizi litafanikiwa au la nani mwenye hiyo Brain na Moyo wa chui kufanya hilo ambalo hata wanachama wenzake tu wameshindwa kufanya ndani ya Chama??
Jana kama ulimwona Membe alikuwa anamwangalia sana Lissu wakati wa Hotupa. Nadhani alikuwa anajitafakari kama ule moto anauweza au la.

Wewe nae kichwa maji kweli kwani kuweka pingamizi ni kitu kigumu sana? Hivi kama una hoja za kumwekea pingamizi mgombea wa CCM mahakani mbona rahisi tuu si unakwenda?kwa hiyo uko upinzani hamna mtu mwenye akiii ya kujua kuwa pingamizi linaweza kuwekwa dhidi ya mgombea fulani ni Lissu pekee ndio anajua? hahahaha
 
Upinzani ni upuuzi alivyokuwa kikwete walisema wanataka mtu mwenye kusimamia rasilimali sasa amekuja JPM nyimbo imebadilishwa.Asante Mungu kwa kunivua dhana ya upinzani.
 
Million 50 kila KIJIJI Ahadi haijatimia hadi sasa

Ajira hakuna ukilinganisha na IDADI ya WAHITIMU kila mwaka

BUNGE halipo LIVE mwaka wa 5 sasa hatuna UELEWA wa KUTOSHA kuhusu MIRADI WANAYOISIFIA kila KUKICHA

TUWE SERIOUSLY Tz NI YETU SOTE
Bunge kuwa Live unataka kutwa ushinde kwenye TV ili kumsifia Mtu ambaye hakuletei chakula. Nyie ndiyo wale Wanawake wanatafuta wewe kazi yako ni kula na kupiga Majungu.
 
Wewe nae kichwa maji kweli kwani kuweka pingamizi ni kitu kigumu sana? Hivi kama una hoja za kumwekea pingamizi mgombea wa CCM mahakani mbona rahisi tuu si unakwenda?kwa hiyo uko upinzani hamna mtu mwenye akiii ya kujua kuwa pingamizi linaweza kuwekwa dhidi ya mgombea fulani ni Lissu pekee ndio anajua? hahahaha
Wewe bhana sijui ni mihemuko au hujui kusoma na kuelewa kinachoandikwa. Sio kwamba hakuna watu wa kumuwekea pingamizi Magufuli bali hakuna mwenye guts au ujasili wa kufanya hivyo. Kila mtu anamwogopa Jiwe ila Lissu hamwogopi. Kama hata huu ufafanuzi hutauelewa wewe basi tena.
 
Magufuli anakura nyingi sana,tena sana.wakati Magufuli anajenga nchi Lissu baada ya kupona akaanza kuzurula ulaya kujidalalisha kwa mabeberu ili atakapopewa nchi awe wakalawao wa kuwapa rasilimali za taifa.

Lisu alikuwa ulaya kwa matibabu. Nchi inajengwa kwa kodi za wananchi, sio na Magufuli. Raslimali za taifa hazitolewi kwa maamuzi ya Lisu, bali kwa mikataba na sheria za nchi fullstop.
 
Bunge kuwa Live unataka kutwa ushinde kwenye TV ili kumsifia Mtu ambaye hakuletei chakula. Nyie ndiyo wale Wanawake wanatafuta wewe kazi yako ni kula na kupiga Majungu.

Kwani tunavyomuona Magufuli kila siku kwenye TV huwa anatuletea chakula? Ni nani kalazimishwa kuacha shughuli zake ili aangalie bunge live?
 
Ndiyo, kwakuwa Magufuli anapambana na mifumo ya kiutawala. Changamoto za wananchi zinatatuliwa kwa kodi za wananchi chini ya mifumo bora ya kiutawala.
Ruzuku pia ni kodi ya wananchi, lakini ruzuku ya chadema kila mara inalipa madeni yasiyoeleweka. Unategemea kodi zetu zitasimamiwaje wakati wameshindwa kusimamia ruzuku kama taasisi
 
Ruzuku pia ni kodi ya wananchi, lakini ruzuku ya chadema kila mara inalipa madeni yasiyoeleweka. Unategemea kodi zetu zitasimamiwaje wakati wameshindwa kusimamia ruzuku kama taasisi
Jikite kwenye udaku dada
 
Magufuli hata kaa akanyage Ulaya na USA..sababu ukifika tu ukimalizana na Rais mwenyeji ni LAZIMA kuna press lazima uzi face utake usitake..

Sasa hayo maswali yanaweza mpeleka mtu mochware.

Hiyo ndio sababu Magufuli hataki kwenda nje ya Afrika, hasa ulaya na US.
 
Ruzuku pia ni kodi ya wananchi, lakini ruzuku ya chadema kila mara inalipa madeni yasiyoeleweka. Unategemea kodi zetu zitasimamiwaje wakati wameshindwa kusimamia ruzuku kama taasisi

Kama ccm na wizi wao wameweza kuongoza nchi hii, hakuna chama kitashindwa.
 
Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao.

Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda sambamba na midundo ya Jiwe.
Tena ana sauti ya ukuu
 
Ruzuku pia ni kodi ya wananchi, lakini ruzuku ya chadema kila mara inalipa madeni yasiyoeleweka. Unategemea kodi zetu zitasimamiwaje wakati wameshindwa kusimamia ruzuku kama taasisi
CAG alisema wapi hilo kuwa CDM inalipa madeni yasiyoeleweka?
 
Bunge kuwa Live unataka kutwa ushinde kwenye TV ili kumsifia Mtu ambaye hakuletei chakula. Nyie ndiyo wale Wanawake wanatafuta wewe kazi yako ni kula na kupiga Majungu.
Bunge live haimaanishi bunge kutwa. Mbwa nyie.
 
Lissu anahitaji support kubwa nyuma yake kutoka kwa wale wanaoangalia safari yetu huko mbele na vizazi vyetu. Ikiwa tunataka kupata mfumo wa viongozi na sio watawala Tanzania.

Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu. Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea Kingwendu anakua Rais ataweza kutuongoza.
Hii nchi imekuwa ikienda pabaya sana tangu 2015, tunahitaji kiongozi mwenye busara sio huyu mtu wa mizaha.
 
Back
Top Bottom