Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

wanasema ndoa kwa mwanamke ambaye yupo vizur kiuchumi haina umuhimu kwasababu inaweza sababisha uchumi wake kutetereka kwa sababu baadhi ya wanaume huwabana nakuchungwa muda wote pamoja na wivu uliotukuka hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao
Kuna huyu dada mweusi mwanamziki huko marekani mwenye fedha zake, amesema hayuko tayari ndoa yake ivunjike na kuwa singo mama, atapigana atakavyoweza asiwe singo mama; unasemaje kuhusu hili?​
 
Mada yako imedharau wanawake.
Sio kweli kuwa wake WOTE hawana cha kuweka mezani.zaidi ya sex.

Mtoa mada kwa yeyote anayefuatilia nyuzi zako,wanawake.zako wote unaowaelezeaga ktk nyuzi zako ni wa hovyo na kwakuwa hao ndio unaokutana.nao ni vigumu kwako kupata wala kuamini kuna wanaume wenzio wenye wake.wana offer way more than sex.

Nataman ifutwe!
 
Aliyekwambia tendo la ndoa ni MSAADA, kakuingiza chaka.
 
Tuje kwenye hoja, kwa upande wako huwa unabeba majukumu yapi ya kumfanya mumeo haisi ana mke?​
 
Tuje kwenye hoja, kwa upande wako huwa unabeba majukumu yapi ya kumfanya mumeo haisi ana mke?​
Asante kwa swali zuri mzee wa mademu wa hovyo🏃😁.

1)Nampa uhakika wa mim,yeye na watoto kula bata awe na kazi au hana.
2)Hatalazimika kutoa siri zetu nje kutafuta ushauri coz naamini tukikaa mezani nina uwezo wa kushauriana nae mambo mengi
3)Sipendi kupika wala kufanA kazi za nyumbani ila nina uwezp wa kuhakikisha kila siku anakula chakula kituri akipendacho na huduma zote anazostahili na siku nikiamua kupika mimi ni fundi wa mapishi ya kibongo na ya kimataifa.Mimi ninapila balaa ila atachagua yeye nishinde jikoni kumpikia na au tusaidiane kutafuta ma v8😁
4)Kitandani sina F wala A
5).....
6).......
7).....
5 6 na 7 siri yangu
 
Ebu mlete huyo mzee aje atoe ushuhuda hapa yeye mwenyewe; wanaume tunaonewa sana
 
Mwenyekiti km Mwenyekitiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika zawadi kubwa alizonipa Mungu, Mke wangu ni miongoni mwao. Ananisaidia sana sana sana.

Si kwamba anapesa huwa ananipa hapana ila yeye amekuwa motisha kubwa ya kuongeza uchumi wangu. sijawahi jutia.
 
Kweli wewe ni babu wa mfano.
 
Shukrani Mjukuu🙏

Japo una muda mrefu hujaniletea Kiko pamoja na kukumbushia mara kadhaa 😜
Babu,nimekosa muda wa kwenda feriry kununua pweza,siwezi kuja kukuletea kiko mikono mitupu nataka nikifika nikupikie supu ya pweza babu yangu unywee huku unavuta kiko.
 
Kuna point za kisiasa unazivuna ukiwa na ndoa tena iliyotulia.

Mfano mdogo tu Obama na familia yake, ukiachana na mambo mengine ilikua pia inampa point za kisiasa.
 
Ukitaka kuishi vizuri hapa Dunian hakikisha unajitegemea kwa 100% hasa katika uzee wako. Tumia nguvu zako piga kazi ujiwekee akiba ya uzeeni, mwanadamu siyo wa kumtumainia.
Ila akiba ndio ya kuitumainia! Utalia sana ukiwa mzee wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…