Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanasema ndoa kwa mwanamke ambaye yupo vizur kiuchumi haina umuhimu kwasababu inaweza sababisha uchumi wake kutetereka kwa sababu baadhi ya wanaume huwabana nakuchungwa muda wote pamoja na wivu uliotukuka hivyo kushindwa kutimiza ndoto zaoWanaume wengi hufa mapema sababu ya direct au indirect pressure toka kwa wake zao. Mwanaume akipata maendeleo kinachofuata ni ndoa ilihali mwanamke akifanikiwa kinachofuata ni talaka. Wanawake wengi wakiwa huru kiuchumi huwa hawana time na ndoa.
Unawajibia wanawake wa kibongo badala ya kumjibia mke wakoKwa kweli kwa wanawake wa kibongo, hakuna chochote zaidi ya stress na madeni yasiyoisha.
Kingine kama kipiKama haukioni kingine basi ndoa yako kuna shida mahali.....
Jamani shemeji...kama huoni kingine baasiii mkaombewe...Kingine kama kipi
Vip vingi mke wangu ambavyo ananipa ambavyo yamkini hakuna ndugu yangu yeyote angenipaWengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.
Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana.
Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto; ambao ukikutana nao njiani, sura zao zimekuwa nzito na zimejaa majukumu mazito na ghadhabu za kuingia kwenye ndoa.
Na wengi tunaoteseka kwenye hizi ndoa ni wanaume, sema huwa tunavumilia ndio maana ata takwimu zinaonyesha wanaume wanakufa haraka kuliko wanawake.
Sasa tujiulize swali; Kwa sisi wanaume tulio oa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?
Najaribu kusikilizia hiyo sauti, nimejikuta mwili wote umelegea 😀Jamani shemeji...kama huoni kingine baasiii mkaombewe...
Kwa maana hiyo ndoa ni kwa wanawake makapuku ili waweze kujiimarisha kiuchumi kupitia mwanaume?wanasema ndoa kwa mwanamke ambaye yupo vizur kiuchumi haina umuhimu kwasababu inaweza sababisha uchumi wake kutetereka kwa sababu baadhi ya wanaume huwabana nakuchungwa muda wote pamoja na wivu uliotukuka hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao
Auheni ya maishaKwa maana hiyo ndoa ni kwa wanawake makapuku ili waweze kujiimarisha kiuchumi kupitia mwanaume?
Wote wawili mnauziwa maziwa na nyama tofauti ni kwamba mmoja anauziwa direct mwingine anauziwa indirectkumbuka mtaani hayo maziwa unauziwa mkuu, ng'ombe wako hawezi kukuuzia maziwa, ukienda kununua nyama utanunua nyama tu kila kitu na bei yake, maini bei yake, utumbo bei yake, steki bei yake na nyama ya kindali bei yake. lakini ukifuga ukaamua kumchinja, unapata vyote bure,
Faida nyingine utapata mbolea, buree, ngozi bureee nadhani hapo utakuwa umeelewa umuhimu wa kufuga, kwa kujazia ukienda maeneo ya wafugaji nyama sio kitu cha ajabu sana, wakat huku mjini nyama inaliwa kwa bajeti kulingana na kipato cha mhusika
Hapana, nauziwaje wakat namfuga mwenyeweWote wawili mnauziwa maziwa na nyama tofauti ni kwamba mmoja anauziwa direct mwingine anauziwa indirect
Katika kumfuga mwenyewe ndipo unalipa indirect costs ambazo kama ungekua haumfugi ungezilipa direct.Hapana, nauziwaje wakat namfuga mwenyewe
Faida inayopatikana ni kubwa kuliko yule anayeisubiri ya buchanKatika kumfuga mwenyewe ndipo unalipa indirect costs ambazo kama ungekua haumfugi ungezilipa direct.
....kufa kabla yake?????!!!!!!!!!Binafsi Mke wangu ni Msaidizi wangu kwenye mambo mengi, mathalani;
Ananisaidia kusimamia baadhi ya miradi tuliyoanzisha pamoja (Nafanya hivi Kwa kujua kwamba nitawahi kufa kabla yake, hivyo Jukumu la kulea watoto litabaki kwake).
Anasaidia malezi ya watoto wetu
Anasaidia kunipa Utulivu wa mwili na akili
Nakupa mifano michache kusapoti hoja yangu;....kufa kabla yake?????!!!!!!!!!
Umeongea na Mungu