Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

Mtoa madam hujawah specific ulitakiwa utueleze kwanza ndoa ni nin alafu ndiouendelee
kwani hujui ndoa ni nini?

Ndoa ni muunganiko wa binadamu wa jinsia tofauti yaani KE + ME, waliokusudia kuishi pamoja na kufanya kila kitu kwa umoja wao mpaka kifo kinapowatenganisha.

Ndoa imeasisiwa na Mungu mwenyewe pale alipomuumba Adamu akaona, Adamu hawezi kuishi mwenyewe akamletea msaidizi ambaye ni Mwanamke, kwahiyo kiasili mwanamke yupo kwa ajili ya kumsaidia mwanaume, maana yake ni hii mwanaume hawezi kustawi bila uwepo wa mwanamke, akawabariki akawaambia zaeni mkaongeze, umeona hii, hakuna mwanaume ataongezeka bila mwanamke. Na huo ndio msingi wa ndoa.

Kwa maana hiyo mtu atamwacha Baba yake na mama yake, na ataambatana na mkewe/mumewe nao watakuwa mwili mmoja
 
Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.

Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana.

Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto; ambao ukikutana nao njiani, sura zao zimekuwa nzito na zimejaa majukumu mazito na ghadhabu za kuingia kwenye ndoa.

Na wengi tunaoteseka kwenye hizi ndoa ni wanaume, sema huwa tunavumilia ndio maana ata takwimu zinaonyesha wanaume wanakufa haraka kuliko wanawake.

Sasa tujiulize swali; Kwa sisi wanaume tulio oa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?​
Hana msaada wowote fukuza hiyo nyau irudi kwao.....
 
Kwaio kwenye ndoa tendo la ndoa huwa linachukua asilimia ngapii...wanandoa naomba mnijibu Ile nsije nkawa Na higher expectations
 
S

STRESS,PRESSURE,MAGONJWA YA MOYO
 
Kuniudhi na kunifanya mtumwa wake.
 
Mwanaume nusu cycle..mwanamke nusu cycle, so mkiwa pamoja mnakamilisha cycle. Kuna Mambo mengi sana wanandoa wanacomplement each other, so si suala la mtu mmoja kumsaidia mwingine bali ni wote kusaidiana. Mke au mume hawapo pamoja Kwa ajili ya ngono pekee
 
Kwaio kwenye ndoa tendo la ndoa huwa linachukua asilimia ngapii...wanandoa naomba mnijibu Ile nsije nkawa Na higher expectations
Tendo la ndoa lina asilimia chache sana mkuu, kwa sababu zifuatazo:

1. Ndoa imegawanyika katika vipindi tofauti tofauti, kuna vipindi vya huzuni, huwezi ukafanya tendo la ndoa ukiwa na huzuni, kuna ugonjwa, mume au mke anaumwa hamna tendo litafanyika.

2. Ukiwa kwenye ndoa akili inajiset kwenye majukumu ya hiyo ndoa, mwanaume atapambana huku, na mwanamke huku, muda wa tendo la ndoa ni mchache hapo.

3. miaka ya mwanzo hasa mwanamke akipata mtoto wa kwanza baadhi yao Automatically ile hamu ya sex huwa inapungua kwa sababu pengine mapenzi yanahamia kwa mtoto, kwa hiyo utaona zile asilimia za tendo la ndoa zinapungua.

NB: Na haya ni mazingira ya kawaida, sio kwamba mwanamke anakuwa anamnyima mwanaume tendo hapana, hapa mambo yanajiset yenyewe unakuta mwanaume haulizii tendo na mwanamke haulizii mnalala tu kama dada na kaka na mambo yanaenda tu
 
Khaaa
 
Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.

Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana.

Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto; ambao ukikutana nao njiani, sura zao zimekuwa nzito na zimejaa majukumu mazito na ghadhabu za kuingia kwenye ndoa.

Na wengi tunaoteseka kwenye hizi ndoa ni wanaume, sema huwa tunavumilia ndio maana ata takwimu zinaonyesha wanaume wanakufa haraka kuliko wanawake.

Sasa tujiulize swali; Kwa sisi wanaume tulio oa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?​
Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.

Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana.

Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto; ambao ukikutana nao njiani, sura zao zimekuwa nzito na zimejaa majukumu mazito na ghadhabu za kuingia kwenye ndoa.

Na wengi tunaoteseka kwenye hizi ndoa ni wanaume, sema huwa tunavumilia ndio maana ata takwimu zinaonyesha wanaume wanakufa haraka kuliko wanawake.

Sasa tujiulize swali; Kwa sisi wanaume tulio oa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?​
Kula pesa zangu na kujifanya analea mtoto
 
Kwann kiongozi
mwezi unasiku 30, huyo mwanamke ana siku 4 za period, lakini huyo mwanamke anapokaribia hiyo period atapitia maumivu ya tumbo kiuno na mgongo, kwa namna atakavyokuwa anaumwa utaona aibu kumuomba hizo siku zitoe wengi wao hudumu hapo kwa siku 3, ukizitoa kwa mwezi utashangaa zimebaki siku 23 tu, ambao mwanamke atakupa tendo. Hizo ni given utake usitake.

Zipo sababu zingine kama ugonjwa, stress za mhusika hapo utagundua kwa mwanamke mmoja huwez pata tendo kwa asilimia 90, Kumbuka tumesema ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa, hapa nimekuonyesha ni kwa namna gani huwezi pata uhakika wa tendo kwa asilimia 90 unazosema, labda upate nje ya mke.
 
Back
Top Bottom