Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

Babu,nimekosa muda wa kwenda feriry kununua pweza,siwezi kuja kukuletea kiko mikono mitupu nataka nikifika nikupikie supu ya pweza babu yangu unywee huku unavuta kiko.
Wewe Mjukuu unajua sana kunijali Babu yako, umefanya nikuandikie pembeni password yangu ya akaunti ya Pension...

Sasa ndiyo usimwambie Bibi yako tu 😜
 
Wanaume wengi hufa mapema sababu ya direct au indirect pressure toka kwa wake zao. Mwanaume akipata maendeleo kinachofuata ni ndoa ilihali mwanamke akifanikiwa kinachofuata ni talaka. Wanawake wengi wakiwa huru kiuchumi huwa hawana time na ndoa.
Unamaanisha wanawake wanaolewa kwa sababu ya kiuchumi (pesa)
 
Unamaanisha wanawake wanaolewa kwa sababu ya kiuchumi (pesa)
Tangu zamani hiyo ndo ilikuwa desturi(>90%) ila kwa sasa kadri wanawake wanavyozidi kujitegemea kiuchumi ndivyo ambavyo ndoa zinavyozidi kupoteza uelekeo.
 
Anakusaidia kulea watoto wako,anakupikia chakula na kukufulia nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…