Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania