Mbona nakujua fika na deni langu unilipe,na familia yako wakija dukani kwangu siwapi kitu,tutajuana tu kwa codehizo ramli ni nonsense kwa nyakati hizi za sayansi na teknolojia gentleman 🐒
Mbona nakujua fika na deni langu unilipe,na familia yako wakija dukani kwangu siwapi kitu,tutajuana tu kwa codehizo ramli ni nonsense kwa nyakati hizi za sayansi na teknolojia gentleman 🐒
Nakwambia si watakuja,tena siongei na mtu ni vitendo tu,kumbe una kiosk gentleman?🤣
Nilishakuambia kuwa uzalendo wa Polepole uliishia kwenye bunge la katiba.Sasa hivi Polepole ana chuki iliyopitiliza dhidi ya CCM na hasa SamiaNa ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania
Sio tu muovu ni mnafki,tapeli mchu, mroho,Lisu wa sasa anapambania ushindi mahakamani ila Lisu wa kipindi kile cha kwao alikua anapambania uhai ukimbizini huko! Huku Magu ndio kinara wa magenge kumbuka sukuma geng? kumbuka wale wa aongezewe mda akiwemo aliyekimbia uhai juzi hapo, wasanii walifungiwa sana nyimbo zao na wakimbizi walikuwa wengi kipindi chaokwahiyo huyo msukule ni mtakatifu muovu wa visasi right?🐒
Acha utapeli jibu hoja zakeNa ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania
Gentleman...nilazima mtu mweusi aondolewe zanzibar kwa namnq yoyote ili wajomba wa oman wamiliki koloni laopole wewe kwa kuweweseka kwa ramli bila usaidizi 🐒
Gwalaih😂😂😂😂pole yatima mropokaji na mnafiki mwenye porojo na drama za kizushi 🐒