G
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania
Genge la wahuni Lilimuua Karume
Genge la wahuni lilimuua Sokoine ,
Genge la Wahuni lilimuua Nyerere.
Genge la wahuni lilimuua Mtikila
Genge la wahuni lilimuua Horace Kolimba
Genge la wahuni lilimuua Imrani Kombe Genge la wahuni lilimuua Kepten Komba kwa kumsapoti Lowasa.
Genge la wahuni Lilimuua Deo Filikunjombe .
Genge la wahuni likampa Sumu Mrema mpaka akafa akiwa anababuka ngozi .
Genge la wahuni lilimuua Maalim Seif.
Genge la Wahuni likamuua Kijazi .
Genge la wahuni wakauua Samweli Sita .
Genge la wahuni likasema ni bora wabunge wa upinzani wote washinde lakni sio Tundu Lisu kurudi Bungeni .
Genge la wahuni
Lilimpa Sumu Lowasa mpaka akafa ili asiwe Rais akawanyanganya waaraba Nchi ya Loliondo na kuzuia Wamasai kunyanganywa ardhi yao.
Genge la wahuni lilimuua
Genge la wahuni lilimuua Mengi ili kwa sababu aalikua ni bil.pekee Mtanganyika ambaye alikua hakubaliani na sera za kuwapa wageni ardhi yote yenye madini na vitalu vya gesi na pia alijitokeza na kutaka kumaapoti Magufuli kwenye kampeni pamoja na kwamba alikataa . Genge la wahuni lilimpa sumu Dr.Mwakyembe.
Genge la wahuni lilimuua Ndesamburo ili upinzani ukose pesa.
Genge la wahuni likamuua Benjamini Mkapa kwa sababu ya misimamo yake ya kulinda Katiba ya Chama na Serikali .
Genge la wahuni lilimuua Magufuli.
Genge la wahuni lilimuua Benard Membe ili iwe rahisi kumleta Mgeni toka Oman kuja kupora mali za Watanganyika.
Genge la wahuni lilimuua Mafuru.
Genge la wahuni lilimuua Ndungulile.
Genge la wahuni limejigawia rasilimali zote za nchi kwa mgongo wa wawekwezaji huku Wazanganyika wakulima na wafugaji wakiwa wanauana kwa kukosa ardhi ya kufuga .
Genge la wahuni limeuza Bandari ya Dar es salaam na sasa wanampango wa kuhamisha mpaka kambi za vyombo vya dola Kurasini ili waarabu wajenge majumba yao badala ya viwanda. Eti wataajiri Watu wengi labda Wazanzibari lakni sio wanatanganyika kwa sababu wameshaitwa wezi .Sijui mwekezaji gani ataajiri watu walioitwa wezi.
Genge la Wahuni sasa linanyemelea Ardhi ya Wahazabe .
Genge la wahuni limegeuza Mbuga za wanyama kuwa maeneo yao ya kujenga Mahoteli yao.
Genge la wahuni limefanikiwa kuwaua Watanganyika wote maarufu na wenye nguvu ya ushawishi na sasa wanataka kummaliza na Tundu Lisu ili pasiwepo Tena mtanganyika mwenye nguvu ya kisiasa na mwenye maono ya kulinda maslahi ya Tanganyika tena .
Genge la wahuni linamuwinda Gwajima .
Genge la wahuni linamuwinda Polepole .
Genge la wahuni limemkata Mpina.
Genge la wahuni limemkata Mrusho Gambo .
Genge la wahuni limemkata Januari kwa sababu amekataa kujiinguza kwenye kampeni za udini .
Genge la Wahuni limemtoa Majaliwa kwa sababu amekataa kutumika kwenye kampeni za udini .
Genge la wahuni limemuua Ndugai
Genge la wahuni litawamaliza wakrsto wote maarusufu na waislam wasiopenda udini ili waendeleze biashara za kuuza nchi na kuwaleta wageni kuja kuwalisha Watanganyika madawa ya kulevya na sumu za kufubaza akili ili nchi yao iporwe kila kitu wabaki kama mateja na waoga .
Genge la wahuni linawawinda viongizi wa makanisa ili kuua ukristo na kuondoa sauti ya Mungu Tanzania .
Tanganyika Tanganyika nakupenda kwa Moyo wote .