Kwa sura tu Humphrey Polepole anaonekana ni mnafiki aliejawa tamaa, visasi na chuki binafsi

gentleman,
jiepushe kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa falsafa za kusadikika.

just, think, dicide and be you 🐒
Gentlemen..trust me ROSTAM AZIZI NI NI ZAIDI YA MAJAMBAZI Samia ni kibaraka wake tu
 
Attachments

  • WATANZANIA HII VIDEO NI YENU WENYE MNATAWALIWA NA MMAMA UKO KWENU (1).mp4
    1.1 MB
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.

Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.

Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.

Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒

Mungu ibariki Tanzania

Mtalala sana na viatu na kwa maneno yake #4 bado!
 
Gentlemen..trust me ROSTAM AZIZI NI NI ZAIDI YA MAJAMBAZI Samia ni kibaraka wake tu
Jikite tu kwenye hoja mahususi gentleman bila kuweweseka au kujaribu kuchepusha mjadala 🐒
 
Relax gentlemen. Acha kupanick na upunguze uchawa. Ni hatari kwa afya yako
 
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.

Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.

Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.

Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒

Mungu ibariki Tanzania
wewe kwa sura unaonekanaje?
 
Jikite tu kwenye hoja mahususi gentleman bila kuweweseka au kujaribu kuchepusha mjadala 🐒
Oky gentleman 👏 hoja ni huu ukweli kuwa WATANGANYIKA ATUTAKI MZANZIBAR ATUONGOZE MAANA TAYARI WAZENJI WAMESHA JITWALIA TAIFA LAO KWA ASILIMIA 90% ...HIYO ASILIMIA 10 NI GERESHA TU WAMEIBAKISHA KUTUNYONYA BARA ...GENTLEMAN POLE SANA WATANGANYIKA ATUTAKI TAKATAKA ZA VISIWANI
 
Angalia namba za views kwenye mihadhara yake, NRNE inaimbika hadi CCM huko!
ndiyo ,
si wanatakakuskia msukule utapotosha kitu gani tena ili wampuuze vizuri 🐒
 
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.

Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.

Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.

Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒

Mungu ibariki Tanzania
na mwisho wake ni mbaya kwani hana ajenda,hajui anataka nini na hatujui anachofanya kina msaidia nini mtanzania
 
Oky gentleman 👏 hoja ni huu ukweli kuwa WATANGANYIKA ATUTAKI MZANZIBAR ATUONGOZE MAANA TAYARI WAZENJI WAMESHA JOTWALIA TAIFA LAO KWA ASILIMIA 90% ...HIYO ASIL9MIA 10 NI GERESHA TU WAMEIBAKISHA KUTUNYONYA BARA ...GENTLEMAN POLE SANA WATANGANYIKA ATUTAKI TAKATAKA ZA VISIWANI
pole wewe kwa kuweweseka kwa ramli bila usaidizi 🐒
 
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.

Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.

Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.

Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒

Mungu ibariki Tanzania
Kama kamanda mwanzako unamponda Tena balozi,hao CHADEMA wasemeje Sasa!
 
Back
Top Bottom