HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
bado sura inaonyesha dhahiri kwamba mwamba ni msukule tu 🐒
Wasiwasi Wako Tu.....
bado sura inaonyesha dhahiri kwamba mwamba ni msukule tu 🐒
Wewe na machawa wenzio ndo mnapuuzwaNa ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania
Gentleman Samia akubaliki na yoyote isipokuwa wahuni na mafisadi wachache ....IKULU NI SEHEMU TAKATIFU SIYO PANGO LA WAHUNI NA MAKAHABA WALA MAFISADINa ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania
Hakuna point uloandika hapo, unawashwa unataka polepole akukune,tuliza mihemko ya kinyumbu bas ikiwa huna pweinti gentleman 🐒
Kwa kwel wanamtandao Wana nguvu sana naona wapo kazniNa ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania
kuamini ramli na ushirikiana ni miongoni mwa umaskini mzigo sana wa kifikra gentleman, dah 🤣Gentleman Samia akubaliki na yoyote isipokuwa wahuni na mafisadi wachache ....IKULU NI SEHEMU TAKATIFU SIYO PANGO LA WAHUNI NA MAKAHABA WALA MAFISADI
GENTLEMEN....COOL DOWN 🍻kuamini ramli na ushirikiana ni miongoni mwa umaskini mzigo sana wa kifikra gentleman, dah 🤣
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.
Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.
Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒
Mungu ibariki Tanzania
Take it easy gentleman watanganyika tumemkataa kibaraka wa mabeberu na waarabu na raia feki 😁😁😁Relax gentleman 🐒
Gentleman,Kuna Mambo mkiongea mnatukanisha mamlaka ya uteuzi
Na ndio maana waliomteua wote wako kimya nyie wa huku mitandaoni ndio mnapiga makelele
Unaelewa maana ya rais kukutuma ukawe mwakilishi wake nje ya inchi?
Unaelewa maana ya kuwa katibu mwenezi wa chama? Unajua anakuwa na access ngapi ya kuingia kwenye vikao?
Hayo unayosema means wasaidizi wa mamlaka ya uteuzi hawakuyaona
Sometimes sio kila Jambo ulijibu mengine Acha Tu yakupite
Vipi Kwanza jina lako lilirudi?
Haha