Kwa sura tu Humphrey Polepole anaonekana ni mnafiki aliejawa tamaa, visasi na chuki binafsi

Hamprey Polepole amekunyimeni usingizi enyi mbwa wa kijani
msukule hawez kumnyima mtu usingizi kwasabb,
kwanza anakua ni lofa, lakini pia huishi gizani mafichoni kama huyo muungwana mwenye chuki na tamaa 🐒
 
Michawa hamnaga akili mnatumika tu hovyo hovyo, Pole2 angekuwa mbinafsi na mwenye tamaa ANGEJIUZULU ulaji ubalozini?!.
Tuanzie hapo kwanza...
 
tuliza mihemko ya kinyumbu kamanda,

kama huna pweinti kaa kimya tu na itapndeza ziaidi 🐒
 
Germa wanakuwaga wajanja we sijui wamekugeuza gasho ndo maana umekuwa mjingaa...unatumika tumika hovyo!
makasiriko na pointless ni nonsense kwenye mijadala muhimu gentleman 🐒
 
Kila Mwana Ccm anaiogopa Katiba mpya including Humphrey Polepole ndio maana Watu wanamuona kwamba bado hayupo siriazi na kile anacho kilalamikia !😳🤷🏿‍♂️
[/QUOTE]

Kuhusu katiba mpya nahisi umeanza kumjua akiwa mwenezi ccm, nakiri tena umjui Polepole kuhusiana na misimamo yake kuhusu katiba mpya.
 
Kila Mwana Ccm anaiogopa Katiba mpya including Humphrey Polepole ndio maana Watu wanamuona kwamba bado hayupo siriazi na kile anacho kilalamikia !😳🤷🏿‍♂️
Kuhusu katiba mpya nahisi umeanza kumjua akiwa mwenezi ccm, nakiri tena umjui Polepole
[/QUOTE]
unadhani nini kinafanya adharaulike na kupuuzwa na kila mtu kwa anayoyasema?

kwani kumjua msukule kuna faida yoyote gentleman?🐒
 
Sawa Hilo Tumekubali....Je Ingekuwa Sasa Pole Pole Ndio Anamsifia Mama...Je Ni Dhahiri Sura Yake Ingeonakanaje...??
 
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.

Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.

Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.

Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒

Mungu ibariki Tanzania
Zamani alikuwa akiipiga spana chama tawala kisawasawa lakini baada ya kuingia chamani tu ndipo alipopoteza uhalisia wa ukosoaji nadhani hata huu ukosoaji ni sababu ile ile ya mwanzo nayo ni tumbo.
 
Sidhani kama anajali maslahi ya wananchi wanaotaka maendeleo ya dhati.
Naona analalamika tu na sababu za haya anajua mwenyewe.

Maana sio yule wa V8 bali ni mtu alieonesha sura yake ya chuki tu
Nilidhani mwanzo anapigania masikini kumbe ana agenda tofauti
 
Hapana.kwa muonekano wa sura tu ya polepole inaonesha kabisa ni mzalendo na anaumia sana nchi inapochezewa ma mafisadi ya ccm
 
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua mtumishi wa chama na serikali sikivu ya CCM, wakati huo vinamuhukumu kwa haki kisawasawa kwa sasa.

Kwa ufupi,
polepole ni miongoni mwa watakatifu wanafiki zaidi, wachonganishi wasio na shukrani na wenye roho mbaya sana katika historia ya utumishi wa chama na serikali za wanadamu. Amekua kituko cha muovu kutafuta utakatifu asiostahili mbele ya umma aliouhadaa na aliouumiza kimwili na kiroho.

Ugonjwa wa sense of perfection unamtesa sana mtu huyu aliepoteza credibility ya utumishi wa umma na uelekeo kisiasa.Na ndio maana hata muonekano wake na tabia yake ya sasa, vinajidhihirisha kwamba huenda huyu kijana ni mganga wa kienyeji au msukule. Hajibiwi wala hapongezwi na yeyote kwa utopians views zake za chuki.

Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanazania, unadhani hamprey polepole anakosa nini au hana nini hata ana puuzwa kwa kiwango hiki na chama chake lakini zaidi sana anapuuzwa mno na upinzani Tanzania?🐒

Mungu ibariki Tanzania
Weka sura yako hapa tuipe tafsiri.
 
Udini ndio maono yake makubwa
 
Back
Top Bottom