Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.

Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..

Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.

Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
 
Rais anatakiwa aoneshe makali haiwezekani tukamuliwe mitozo, bundle ziongezwe bei afu kuna mbwa wanakula bure tu
Na mie ndio nilikuwa mtetezi mkubwa wa Serikali humu jf lakini sipati hata mia yaani nafanya kazi ya kujitolea kutetea majizi.

Bora nikajitolee kutetea watu wenye uhitaji huko.
 
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.

Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..

Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Bora hata!
Lakini sijui mnapata wapi ujasiri wa kuitetea serikali!
 
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.

Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..

Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Aha ha a a karibu sana team Chato tumetumia NGUVU nyingi kukuelewesha lakini ukawa kichwa ngumu na kutukana watu matusi humu.

Serikali ya Awamu ya sita imeoza na inanuka uozo hatari TULISHALIONA Hilo tu alipoanza uteuzi BI TOZO
 
Back
Top Bottom