ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.