Kwa tabia za timu za kiarabu hapo ndio najua kwanini kule gaza Israel acheki na wowote

Kuna msichana mmoja ametoka Sharjah UAE anasema jamaa wale sio watu bali ni wanyama..unaingilia mpaka na baba mwenye nyumba tena kwa njia ya Tigoism.. amesema amekoma tena harudii kwenda huko...
 
Punguza hasira mkuu huu ni mpira tu ,,kama wao wanafanya fitina na wewe fanya hujakatazwa
Mpira hauchezwi hivyo mzee......mpira ni burudani sio ujinga.....mnapenda ligi ya EPL sababu hakuna kulea ujinga ule....ligi ya italy imeanza kupanda na kuanza kuvutia baada ya kuachana na ujinga ujinga....

Timu zishinde angalau kwa 80 % kihalali na sio kwa fitna za kijinga miaka na miaka kujirudia
 
Huna akili huo ni mpira na sio vita na moja wapo mbinu ya mchezo ni kupoteza muda hasa faida inapo kuwa upande wako.
Almasili walizidiwa kila kitu alafu walikata pumzi hivyo walikuwa wanafanya hivyo kuvuta pumzi.
 
Sasa leo kuna fitina gani walio ifanya?
 
Huko EPL timu ikipoteza muda inapewa adhabu gani?
 
Umekusudia uislam tu. Huo uarabu unaingiza ili ufiche upuuzi wako
Sitaki niingize mambo ya dini.....ila fitna na unafki unasemaje katika uislam,?
Na kwanini adhabu yake kali.....? Je kilionwa nini kwenye hii jamii ya waarabu.....? Hapo nadhani utakuwa umejua mimi no dini gani
 
Inshu sio simba inshu mpira huwa hauvutii timu za hawa jamaa zinapocheza...ndio maana hta hao clubs bingwa Dunia bingwa wa africa huo kituko huko kwa mpira anaopigiwa
Timu inapo ingia uwanjani inaenda kutafuta ushindi kwa mbinu yeyote na si kwa ajili ya kukufurahisha ww.
 
CAF inawaangalia tu hawa washenzi
 
Narudia tena je wewe toka moyoni kwako unawaona waarabu wamestaarabika achana na masuala ya Dini?
Ukienda Qtaar na ukaja Tz ni wapi kunaishi watu walio sitarabika?
 
Huna macho?
Kupoteza muda ni mbinu ya mchezo hasa faida inapo kuwa upande wako,kwa hiyo hapa Tz timu ndogo zinavyo kuwa zinapoteza muda zinapo cheza na Simba au Yanga basi ni kiwakilishi kuwa watz hawajastaarabika hivyo wana sitahili kuuliwa kama watu wa gaza?

Ebu punguza chuki na upumbavu.
 
Kupoteza muda Kwa udanganyifu kuwa umeumia hiyo sio mbinu na huwezi kuikuta Kwa waliostaarabika (ulaya).
 
Ile Sheria ya kupoteza muda Kule ulaya ingeletwa na huku Hawa wajinga wanatuharibia sana burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…