Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 508
- 711
Mbinu ya fitina haitokaa iishe kwenye mpira iwe uingereza uarabuni au Italy ,hata tumia mbinu yoyote ushinde kikubwa haudhuru mtu,, na hakuna jambo la ajabu mwarabu karifanya leo ambalo wengine hawafanyiMpira hauchezwi hivyo mzee......mpira ni burudani sio ujinga.....mnapenda ligi ya EPL sababu hakuna kulea ujinga ule....ligi ya italy imeanza kupanda na kuanza kuvutia baada ya kuachana na ujinga ujinga....
Timu zishinde angalau kwa 80 % kihalali na sio kwa fitna za kijinga miaka na miaka kujirudia