Kwa tabia za timu za kiarabu hapo ndio najua kwanini kule gaza Israel acheki na wowote

Mbinu ya fitina haitokaa iishe kwenye mpira iwe uingereza uarabuni au Italy ,hata tumia mbinu yoyote ushinde kikubwa haudhuru mtu,, na hakuna jambo la ajabu mwarabu karifanya leo ambalo wengine hawafanyi
 
We jamaa
Kwani huwezi kunyamaza mkuu lile jambo wanaLofanya waarabu si jema,wamezidi na marefa hawawashughulikii.Angalia walipokuwa wakiwanyang'anya watoa huduma machela.Ile unaisemaje mkuu.
 
Jaman uislam umeingiaje apa?

Kwann kila wakitajwa waarabu waislam huingilia kati kuwatete?
 
Jamaa miaka yote uzandiki wao ni ule ule...caf wanawavumiliaga tu na ujinga wao......israel aendelee kuwanyoosha mpaka middle east na north africa wapotee wawe busy na migogoro yao sie tuendelee na soka
Hata tuwe busy vipi na soka hatuwezi kuwapata north
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…