Kwa tahadhari tu: Wanasheria wa Lissu kuweni macho zaidi ya hivi sasa

Kwa tahadhari tu: Wanasheria wa Lissu kuweni macho zaidi ya hivi sasa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Tukio la Padre Kitima si la kufanyia mzaha. Iwe wake up call kwa mawakili wa Lisu kuchukua tahadhali zaidi. Maisha yenu yanaweza kuwa hatarini
Kwa asiye na unafiki, ana akili za kawaida ndogo tu, by 99.9999999% wahusika unaweza ukawatambua/ ukawahisi.

Bwana Mungu awawekee mkono wa ulinzi wake.
 
Ndio kusema Tundu Lissu ni tishio sana kiasi hiki? Basi yule jamaa sio mtu wa kawaida
 
Mods nisahihishe iwe tahadhari please.
 
Tukio la Padre Kitima si la kufanyia mzaha. Iwe wake up call kwa mawakili wa Lisu kuchukua tahadhali zaidi. Maisha yenu yanaweza kuwa hatarini
Kwa asiye na unafiki, ana akili za kawaida ndogo tu, by 99.9999999% wahusika unaweza ukawatambua/ ukawahisi.

Bwana Mungu awawekee mkono wa ulinzi wake.
Katika nchi iliyojaa wadhalimu ambao ndio watengenezaji wa sera na sheria, usitarajie kupata haki katika mfumo wa serikali ya namna hiyo. Hao mawakili wapo kwenye kilengeo kikali sana wajichunge mno.
 
Itajulikana tu nani kafanya tukio hilo, kama lilipangwa na wahuni wa chadema ili kuichafua serikali au ni tukio binafsi itafahamika tu.
Pole kwa mzee wetu kitima ila ndio maana tulishauri asiingie sana kwenye siasa ndio maana tunashindwa kujua nini haswa.
 
Lissu si alikuwa anatamba kwamba anataka siasa ngumu, na kwamba Mbowe alikuwa laini sana
 
Usiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
IMG-20250501-WA0011.jpg
 
Usiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.View attachment 3322298
Akome mb. WAaa huy
 
Dah anatisha
 
Ndio kusema Tundu Lissu ni tishio sana kiasi hiki? Basi yule jamaa sio mtu wa kawaida
si wa kawaida

ana mkono wa Mungu baba!

ukimsikiliza tu hata kama wewe CCM unaanza kuimba #NoReformsNoElection
 
Back
Top Bottom