No, wao wenyewe wanaweza kuwa targetNdio kusema Tundu Lissu ni tishio sana kiasi hiki? Basi yule jamaa sio mtu wa kawaida
DuhHapa kwa baba padri mama Abdul amebugi. Soon ushungi utaingia sandukuni.
Asante for the observation ..mimeomba mods werekebishe headingUliyoyasema ni kweli.
NB:
Tahadhali - Tahadhari
Lisu - Lissu
Hii movie imefija patam sana namuona Starling anafia ulingoni😁Hapa kwa baba padri mama Abdul amebugi. Soon ushungi utaingia sandukuni.
Katika nchi iliyojaa wadhalimu ambao ndio watengenezaji wa sera na sheria, usitarajie kupata haki katika mfumo wa serikali ya namna hiyo. Hao mawakili wapo kwenye kilengeo kikali sana wajichunge mno.Tukio la Padre Kitima si la kufanyia mzaha. Iwe wake up call kwa mawakili wa Lisu kuchukua tahadhali zaidi. Maisha yenu yanaweza kuwa hatarini
Kwa asiye na unafiki, ana akili za kawaida ndogo tu, by 99.9999999% wahusika unaweza ukawatambua/ ukawahisi.
Bwana Mungu awawekee mkono wa ulinzi wake.
Akome mb. WAaa huyUsiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.View attachment 3322298
Dah anatishaUsiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.View attachment 3322298
si wa kawaidaNdio kusema Tundu Lissu ni tishio sana kiasi hiki? Basi yule jamaa sio mtu wa kawaida
Sifa na Utukufu kwa Bwanasi wa kawaida
ana mkono wa Mungu baba!
ukimsikiliza tu hata kama wewe CCM unaanza kuimba #NoReformsNoElection