ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sasa tuambie sources ya hizo dollars tunazotumia kufanya hìzo importsNi wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu.
Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha Tanzania.
Huu ni ujumbe tosha Kwa vibaraka wao ,wasome na waelewe.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DE5ADBGIgTK/?igsh=bjVwejJ2bDN3dW1r
Unashangaza sana ,kwani hatuuzi bidhaa?Sasa tuambie sources ya hizo dollars tunazotumia kufanya hìzo imports
Umeelewa mada au umekurupuka ka.mkojo?hizo ni imports halafu unajivunia? watanzagiza bhana akili zoote gsm hadi huruma, na una export nini na wapi ?
Umeelewa mada au umekurupuka ka.mkojo?
Naomba ripoti ya hivi hivi kwa mwaka 2019Ni wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu.
Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha Tanzania.
Huu ni ujumbe tosha Kwa vibaraka wao ,wasome na waelewe.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DE5ADBGIgTK/?igsh=bjVwejJ2bDN3dW1r
Ya nini?Naomba ripoti ya hivi hivi kwa mwaka 2019
Sijaona mantiki ya kufanya hivyoUngeweka na orodha ya bidhaa ambazo zinaagizwa toka nchi hizo zote.
Au pawe na orodha ya bidhaa 1000 ambazo Tanzania inaagiza toka nje na thamani ya bidhaa hizo kwa mwaka
Na tuone ni bidhaa zipi tunaweza kuzalisha ndani ya nchi
Kujivunia imports ni dalili ya kukosa akili.
Una matatizo ya uelewa wewe,hapo lengo la mada ni kuonesha Nchi tunazo trade nazo Kwa asilimia kubwa.nimeelewa sana, hakuna binadamu dunia hii mwenye akili timamu anayeweza kujivunia imports, unaweza import ktk nchi yoyote ile dunia hii kwani kila nchi inapenda ku export ili kukuza chumi zao na hakuna anayegombania imports kwa maana imports zinaharibu uchumi wa nchi, ili nchi iendelee ni lzm ibalance exports vs exports, hivyo kama hizo nchi zinaongoza kuleta bidhaa tanzagiza ilipaswa na sisi pia tuuze bidhaa kwenye hizo kama exports hapo ndiyo mtu anaweza kujipiga kifua, lkn siyo kugeuzwa soko la bidhaa za wengine halafu unajisifu …
Akikujibu nizabwe kofi1. Watalii wa Tanzania wengi wanatoka nchi zipi?
2. Exports nyingi za Tanzania zinaenda nchi zipi?
Sema nchi tunazonunua bidhaa kwa asilimia kubwa.Una matatizo ya uelewa wewe,hapo lengo la mada ni kuonesha Nchi tunazo trade nazo Kwa asilimia kubwa.
Una matatizo ya uelewa wewe,hapo lengo la mada ni kuonesha Nchi tunazo trade nazo Kwa asilimia kubwa.
Huko huko ndiko tunako exportunaelewa maana ya trade? trade ina pande mbili, data ulizoweka zinaonyesha imports, sasa sisi tunauza nini kwenda kwenye hizo nchi kama exports? nchi huwa zinahangaika kutafuta pa kuuzia bidhaa zao ( exports) na siyo kuwa soko la bidhaa za wengine, kuwa soko ndiyo kitu rahisi kuliko vyote ila wewe kuweza pia kuuza kwao bidhaa ndiyo kitu cha kujisifu, ndiyo maana huona nchi makini kiongozi akifanya ziara anakwenda na wafanyabiashara lengo huwa ni kuangalia jinsi ya kupata soko la bidhaa zao kwenye hiyo nchi, watu makini hawafanyi ziara na bongo movie unless kama unataka kuuza bongo movie kama exports kwenye hizo nchi.
isitoshe ngoja nikusaidie kidogo, ni hivi kila bidhaa unayonunua kariakoo gsm unazalisha ajira kule ilikotengenezwa, umeshawahi kujiuliza au hata tu kulielewa hilo ?