Kwa takwimu hizi, hata tukizinguana na Mabeberu Hakuna Hasara Kama Nchi Tutapata.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Ni wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu.

Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha Tanzania.

Huu ni ujumbe tosha Kwa vibaraka wao ,wasome na waelewe.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DE5ADBGIgTK/?igsh=bjVwejJ2bDN3dW1r
 
Na katika hizo Imports tunatumia Sarafu gani kufanya hayo mambo ? Na katika hivyo tunavyoagiza ni Pesa kiasi gani tunafanya hivyo baada ya kutembeza Bakuli...

Haipaswi nchi kama hii iwe tegemezi kwa lolote ingawa kila kitu ni quid pro quo na kutegemeana lakini inabidi mambo mengi tujifanyie..., Case in Point kwanini miradi ya ndani tuikopee pesa ili baadae tulipe Riba

Umeelewa mada au umekurupuka ka.mkojo?

nimeelewa sana, hakuna binadamu dunia hii mwenye akili timamu anayeweza kujivunia imports, unaweza import ktk nchi yoyote ile dunia hii kwani kila nchi inapenda ku export ili kukuza chumi zao na hakuna anayegombania imports kwa maana imports zinaharibu uchumi wa nchi, ili nchi iendelee ni lzm ibalance exports vs exports, hivyo kama hizo nchi zinaongoza kuleta bidhaa tanzagiza ilipaswa na sisi pia tuuze bidhaa kwenye hizo kama exports hapo ndiyo mtu anaweza kujipiga kifua, lkn siyo kugeuzwa soko la bidhaa za wengine halafu unajisifu …
 
Ungeweka na orodha ya bidhaa ambazo zinaagizwa toka nchi hizo zote.

Au pawe na orodha ya bidhaa 1000 ambazo Tanzania inaagiza toka nje na thamani ya bidhaa hizo kwa mwaka

Na tuone ni bidhaa zipi tunaweza kuzalisha ndani ya nchi

Kujivunia imports ni dalili ya kukosa akili.
 
Sijaona mantiki ya kufanya hivyo
 
nimeelewa sana, hakuna binadamu dunia hii mwenye akili timamu anayeweza kujivunia imports, unaweza import ktk nchi yoyote ile dunia hii kwani kila nchi inapenda ku export ili kukuza chumi zao na hakuna anayegombania imports kwa maana imports zinaharibu uchumi wa nchi, ili nchi iendelee ni lzm ibalance exports vs exports, hivyo kama hizo nchi zinaongoza kuleta bidhaa tanzagiza ilipaswa na sisi pia tuuze bidhaa kwenye hizo kama exports hapo ndiyo mtu anaweza kujipiga kifua, lkn siyo kugeuzwa soko la bidhaa za wengine halafu unajisifu …
Una matatizo ya uelewa wewe,hapo lengo la mada ni kuonesha Nchi tunazo trade nazo Kwa asilimia kubwa.
 
unaelewa maana ya trade? trade ina pande mbili, data ulizoweka zinaonyesha imports, sasa sisi tunauza nini kwenda kwenye hizo nchi kama exports? nchi huwa zinahangaika kutafuta pa kuuzia bidhaa zao ( exports) na siyo kuwa soko la bidhaa za wengine, kuwa soko ndiyo kitu rahisi kuliko vyote ila wewe kuweza pia kuuza kwao bidhaa ndiyo kitu cha kujisifu, ndiyo maana huona nchi makini kiongozi akifanya ziara anakwenda na wafanyabiashara lengo huwa ni kuangalia jinsi ya kupata soko la bidhaa zao kwenye hiyo nchi, watu makini hawafanyi ziara na bongo movie unless kama unataka kuuza bongo movie kama exports kwenye hizo nchi.

isitoshe ngoja nikusaidie kidogo, ni hivi kila bidhaa unayonunua kariakoo gsm unazalisha ajira kule ilikotengenezwa, umeshawahi kujiuliza au hata tu kulielewa hilo ?
 
Huko huko ndiko tunako export
 
Back
Top Bottom