LGE2024 Kwa takwimu hizi siasa ya vyama vingi ni mbinu tu ya kuombea misaada toka kwa wafadhili

LGE2024 Kwa takwimu hizi siasa ya vyama vingi ni mbinu tu ya kuombea misaada toka kwa wafadhili

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

ENEO LA UCHAGUZIIDADICCMUPINZANI WOTECCM PEKEE
MITAA4,2654,2653,2561,009
VIJIJI12,27412,2745,8796,395
VITONGOJI63,86363,86320,00043,863
80,40280,40229,13551,267
 
Sasa kwa nini bado wanaenguliwa??
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

ENEO LA UCHAGUZIIDADICCMUPINZANI WOTECCM PEKEE
MITAA4,2654,2653,2561,009
VIJIJI12,27412,2745,8796,395
VITONGOJI63,86363,86320,00043,863
80,40280,40229,13551,267
Sababu za wapinzani kushindwa kusimamisha wagombea kwenye vituo vyote ni zipi?
 
Sababu za wapinzani kushindwa kusimamisha wagombea kwenye vituo vyote ni zipi?
inawezekana waliosa fomu au walinyimwa. Nadhani utakuwa umelipenda hilo jibu
 
Sababu za wapinzani kushindwa kusimamisha wagombea kwenye vituo vyote ni zipi?
ni ufala wao tu mfano uku kwetu mgombea wa chadema ni katibu wa tawi, kwenye fomu za taratibu na Sheria za uchaguzi ya namba 12, inasema mwanachama azaminiwe namwanachama mwezie ambae ni kiongozi wake wa shina, sasa yeye kwenye fomu yake kajizamini mwenyewe kisa tu yeye ndio katibu, sehemu ya mgombea yeye mdhamini yeye alafu na muhuri yeye, Ebu CHADEMA KUWEZI SERIOUS BASI
 
Back
Top Bottom