whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Yes, alikuwa illiterateHiyo dini ilitokana na jamaa ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika hivyo lazima mambo mengi yawe upotoshaji mkubwa.
Ngoja niwaite hawa waje kumpigania Allah. FaizaFoxy Mohamed Said Kisai ETUGRUL BEY JumaKilumbi The Icebreaker professional Driver medisonmuta
Na mkuu Mokiti na Che mittoga wataongezea nondo.
Usitukane mkuu, ni kweli alikuwa hajui kusoma wala kuandika na sio jambo bayaWe mbwa uliolewa?
Anavaa rozari nawewe unavaa kobazi.wewe mvaa rozari
Hapa najitahidi nisiweke hisia au imani. Kuna fact. Hapo nakwama niseme nini. Ila naomba yasitumike maneno ya kuudhi please. Uwe mjadala wa kisomi.Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.
Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130
Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni 3.905 sawa na asilimia 49.58%)
Kwahiyo hapa duniani, kwa kila wanawake 100 wanaozaliwa kuna wanaume 106 wanazaliwa. Wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa mujibu wa takwimu zinazotambulika.
Wanaume wakiamua kuoa wake wanne kama Quran inavyoruhusu basi itabidi hao wanawake wawe wa shirikisho kwa wanaume. Hii haikubaliki katika jamii nyingi ulimwenguni.
Allah atakuwa alitoa agizo hili bila kuifahamu dunia maana tungetegemea wanawake wawe wengi sana kuliko wanaume. Tunaweza kuhitimisha kwamba hakuifahamu dunia.
Ukiangalia historia ya uislamu na amri zeke ni kwamba hyo amri ya wanaume kuoa wanawake wanne ilikuja baada ya waislamu kwenda kwenye vita na wanaume wengi walipoteza maisha hvyo kukubaki wajane wengi sana ndio mungu akaamrisha wanaume waoe wanawake wanne ili kuwanusuru wajane ambao wanaume zao walipoteza maisha vitani na wala hakuna la ziada lango la wake lilikuwa kuwanusuru wanawake wajane ambao waume wamekufa either kwa vita au kwa ajali au kwa njia nyingineyo wala hakukuwa na lengo jingine zaidi ya hlo sio kama vile anavyofanya manara anachezea wanawake kila siku anaoa na kuacha.Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.
Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130
Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni 3.905 sawa na asilimia 49.58%)
Kwahiyo hapa duniani, kwa kila wanawake 100 wanaozaliwa kuna wanaume 106 wanazaliwa. Wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa mujibu wa takwimu zinazotambulika.
Wanaume wakiamua kuoa wake wanne kama Quran inavyoruhusu basi itabidi hao wanawake wawe wa shirikisho kwa wanaume. Hii haikubaliki katika jamii nyingi ulimwenguni.
Allah atakuwa alitoa agizo hili bila kuifahamu dunia maana tungetegemea wanawake wawe wengi sana kuliko wanaume. Tunaweza kuhitimisha kwamba hakuifahamu dunia.
Ni mbumbumbu tu ndio atakubaliana na mleta mada kuwa wanaume ni wengi kuliko wanawake..nenda hospital au kituo chochote Cha afya kaombe ratio wa watoto wanaozaliwa Kati ya wakike na wakiume then urudi...Ukiangalia historia ya uislamu na amri zeke ni kwamba hyo amri ya wanaume kuoa wanawake wanne ilikuja baada ya waislamu kwenda kwenye vita na wanaume wengi walipoteza maisha hvyo kukubaki wajane wengi sana ndio mungu akaamrisha wanaume waoe wanawake wanne ili kuwanusuru wajane ambao wanaume zao walipoteza maisha vitani na wala hakuna la ziada lango la wake lilikuwa kuwanusuru wanawake wajane ambao waume wamekufa either kwa vita au kwa ajali au kwa njia nyingineyo wala hakukuwa na lengo jingine zaidi ya hlo sio kama vile anavyofanya manara anachezea wanawake kila siku anaoa na kuacha.
Yaani hata tungekuwa sawa bado wanaume ni wachache hapo kuna vichaa hapo na mapadre sijui kuna wengine wapo jela kuna kina juma lokole hapo yaani tabu tupu yaani wanaume waliopo timamu kiakili kiuchumi na waliopo uraiani ni wachache sana .Ni mbumbumbu tu ndio atakubaliana na mleta mada kuwa wanaume ni wengi kuliko wanawake..nenda hospital au kituo chochote Cha afya kaombe ratio wa watoto wanaozaliwa Kati ya wakike na wakiume then urudi...
Mtume Muhammad hakujuwa kusoma wala kuandika ni hoja na kuna hekima zakeHiyo dini ilitokana na jamaa ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika hivyo lazima mambo mengi yawe upotoshaji mkubwa.
Ngoja niwaite hawa waje kumpigania Allah. FaizaFoxy Mohamed Said Kisai ETUGRUL BEY JumaKilumbi The Icebreaker professional Driver medisonmuta
Na mkuu Mokiti na Che mittoga wataongezea nondo.
Qur'an haijaamuru wanaume kuoa wanawake wanne Bali imeweka limit kuoa mwisho wanne kwa wakati mmoja,ni ushauri na si lazima,msiwe mnarukia msiyoyajua,siku hizi watu wanachagua jinsia za watoto na wengi huchagua wa kiume,huko mbeleni patakua na uhaba wa wanawake,binaadam kuchamba kwingi watatoka na kinyesi mkononiKizazi cha sasa hakikubali kukaririshwa mambo. Kwa aina hii ya kuhoji basi dini zote za ubabaishaji zitakuja kufutwa na vizazi vijavyo.
Islam walioingia ukristo ni wengi sema kuna shida ya kuwa huru kusema sababu ya imani ya islam ni hatarishi sana.Hawajui kuwa wanazidi kuitangaza dini na kuleta 'curiosity' miongoni mwa watu kuifuatilia zaidi na hatimaye kusilimu.
Wasomi ndo hawaudhi? Labda siyo wa nchi hii.Hapa najitahidi nisiweke hisia au imani. Kuna fact. Hapo nakwama niseme nini. Ila naomba yasitumike maneno ya kuudhi please. Uwe mjadala wa kisomi.
Itabidi na wewe unisaidie mafungu ya agano jipya uliyoyanukuu katika Mathayo, Tito na 1Wakorintho yanahasishaje uoaji wake wengi?Muwe mna soma imani zenu vyema msikurupuke kutukana na kuponda dini za watu. Hivi mkiulizwa kwenye bible wapi mmekatazwa kuoa wake wawili, mtaonesha aya gani.
Natoa changamoto kwayoyote mwenye kuweza kunieleimisha na kunipa maarifa aje na aya ama mstari kutoka kitabu chochote cha kikristu unahamasisha kuoa mke mmoja tuu.
Binafsi baada ya kujifunza nimekutana na mistari hii ambayo inahamasisha na kuonesha mfano wa wanaume kuoa wake zaidi ua mmoja.
Wamegharibi wamaeugharibu ukristu kwa kujaza maadili na utamaduni wao na bahati mbaya waafrika nao wamewafata kama walivyo kwa kujiita wastaarabu.
Hapa chini naweka alama ambazo zinahamasisha wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja kutoka katika bible ya King James.
Bible Verses About Polygamy
Bible verses related to Polygamy from the King James Version (KJV) by Relevance - Sort By Book Order.
Exodus 21:10 - If he take him another wife; her food, her raiment, and her duty of marriage, shall he not diminish.
Matthew 25:1-46 - Then shall the kingdom of heaven be likened unto ten virgins, which took their lamps, and went forth to meet the bridegroom. (Read More...)
Deuteronomy 21:15-17 - If a man have two wives, one beloved, and another hated, and they have born him children, both the beloved and the hated; and if the firstborn son be hers that was hated: (Read More...)
2 Chronicles 24:1-3 - Joash was seven years old when he began to reign, and he reigned forty years in Jerusalem. His mother's name also was Zibiah of Beersheba. (Read More...)
Isaiah 4:1 - And in that day seven women shall take hold of one man, saying, We will eat our own bread, and wear our own apparel: only let us be called by thy name, to take away our reproach.
2 Samuel 12:8 - And I gave thee thy master's house, and thy master's wives into thy bosom, and gave thee the house of Israel and of Judah; and if that had been too little, I would moreover have given unto thee such and such things.
Judges 8:30 - And Gideon had threescore and ten sons of his body begotten: for he had many wives.
2 Chronicles 13:21 - But Abijah waxed mighty, and married fourteen wives, and begat twenty and two sons, and sixteen daughters.
Genesis 4:19 - And Lamech took unto him two wives: the name of the one was Adah, and the name of the other Zillah.
1 Chronicles 3:1-9 - Now these were the sons of David, which were born unto him in Hebron; the firstborn Amnon, of Ahinoam the Jezreelitess; the second Daniel, of Abigail the Carmelitess: (Read More...)
2 Chronicles 11:21 - And Rehoboam loved Maachah the daughter of Absalom above all his wives and his concubines: (for he took eighteen wives, and threescore concubines; and begat twenty and eight sons, and threescore daughters.)
Genesis 30:9 - When Leah saw that she had left bearing, she took Zilpah her maid, and gave her Jacob to wife.
2 Chronicles 24:3 - And Jehoiada took for him two wives; and he begat sons and daughters.
1 Chronicles 4:5 - And Ashur the father of Tekoa had two wives, Helah and Naarah.
Ezekiel 23:1-4 - The word of the LORD came again unto me, saying, (Read More...)
Genesis 30:4 - And she gave him Bilhah her handmaid to wife: and Jacob went in unto her.
2 Samuel 5:13 - And David took him more concubines and wives out of Jerusalem, after he was come from Hebron: and there were yet sons and daughters born to David.
1 Samuel 1:1-2 - Now there was a certain man of Ramathaimzophim, of mount Ephraim, and his name was Elkanah, the son of Jeroham, the son of Elihu, the son of Tohu, the son of Zuph, an Ephrathite: (Read More...)
1 Corinthians 7:1-5 - Now concerning the things whereof ye wrote unto me: It is good for a man not to touch a woman. (Read More...)
Numbers 12:1 - And Miriam and Aaron spake against Moses because of the Ethiopian woman whom he had married: for he had married an Ethiopian woman.
Deuteronomy 25:5-10 - If brethren dwell together, and one of them die, and have no child, the wife of the dead shall not marry without unto a stranger: her husband's brother shall go in unto her, and take her to him to wife, and perform the duty of an husband's brother unto her. (Read More...)
1 Kings 11:1-4 - But king Solomon loved many strange women, together with the daughter of Pharaoh, women of the Moabites, Ammonites, Edomites, Zidonians, and Hittites; (Read More...)
Song of Solomon 6:8 - There are threescore queens, and fourscore concubines, and virgins without number.
Deuteronomy 17:14-20 - When thou art come unto the land which the LORD thy God giveth thee, and shalt possess it, and shalt dwell therein, and shalt say, I will set a king over me, like as all the nations that are about me; (Read More...)
Titus 1:5-8 - For this cause left I thee in Crete, that thou shouldest set in order the things that are wanting, and ordain elders in every city, as I had appointed thee: (Read More...)
Huoni hapo namba zinakaribia kuwa sawa?How linawezekana?
Muongo.Hata huko uarabuni wengi wangekimbia uislamu, Ila ulikimbia uislamu unafungwa au kuuliwa