Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

We upeo wako wa kufikiri umeishia hapo , na sio lazima usemacho ndo kiwe sheria , me Dikashwa nikiamua kununua gari wazo langu la kwanza ni kulitumia siwezi kuacha gari ninalolipenda kulinunua given uwezo ninao kwa hofu tu ya kukosa wa kulinunua nikishalikinai me mbona sijaona magari ambayo sioToyota yaliyotumika yanauzwa laki 5 compared na
hizo unazosifia Brevis ,crown, verossa sio Toyota je resale value yake ipoje?
Wenzio hao hawezi kununua gari ingine hadi auze aliyonayo, aongezee hela ndio anunue nyingine. Sasa mtu kama huyu akininunua gari anafikiria siku anauza iwe rahisi.
 
So, kumiliki gari tofauti na toyota manake vipato vinaruhusu. Na wengine hawanunui ili wauze, wanayaweka uwani yajifie tu.
Yaani gari tofauti na Toyota tunanunua sisi maumivu wanasikia wengine! Halafu ni nani kawaambia kila mtu ananunua gari ili auze?! Niko na liToyota uwani sijaliendesha miezi karibu 7 sasa na siliuzi labda aje ndugu yangu nimpe.
 
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota.

Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza.

Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari ili kuuza? Jibu ni ndio. Mali/asset yoyote unayomiliki iwe gari, nyumba, simu, kutanda, TV nk kazi yake ni 2 tu, kwanza kukupa ama kukidhi hitaji la matumizi yako kwa wakati huo lakini pia ni back yako pale utakapokuwa umeyumba kiuchumi ama kuhitaji mtaji zaidi kwenye shughuli zako na ukaona huna sababu ya kwenda kwenye taasisi za fedha kuchukua mkopo kuendelea na shughuli zako, so zina serve purpose 2 tu.

Siku zote ulichonacho ndio cha kwanza kukusaidia kufanikisha jambo lako.

Sasa kwa ushauri wangu, kama unataka uhakika wa kupata wateja ama kuhakikisha hupotezi sana thamani ya pesa yako(value retention) basi nunua Toyota.

Hizi car brand nyingine nunua ila at your own risk. Nikiwa na maana kwamba zinaweza kuuzika ila resale value yake ikawa ndogo sana kuliko kama ungekuwa na gari ya Toyota.

Karibu Doha, Qatar tuangalie WC.
Wafia toyota i.e. wazee wa vitz, ist, raumu etc utawajua tu. Mawazo ni yale yale ya miaka 1968
 
Wewe akili huna, kuna mahala mimi nimesifia Brevis, crown? Unajua kusoma vizuri? Hata darasa la saba ulimaliza kweli? Ulisoma kipindi gani, kile cha mitihani ya darasa la nne imefutwa ama kipi? Ulifaulu vipi kwenda darasa la 5?

Una uhakika kua Verosa, Crown, Brevis sio Toyota?

Nimegundua najenga hoja kwa matoto ya division five, zero brain.
Soma kwanza kabla ya kujibu nimekuuliza hayo magari ya Toyota unayoyatetea yanauzika kirahisi unajua resale value ya baadhi ya magari ya Toyota??
Mfano Brevis , Mark X na GX100? Sema tu watu wamemezeshwa tu na wewe ni mmoja wao na nahisi hata hyo Toyota unazozitetea hata vitz huna
 
Soma kwanza kabla ya kujibu nimekuuliza hayo magari ya Toyota unayoyatetea yanauzika kirahisi unajua resale value ya baadhi ya magari ya Toyota??
Mfano Brevis , Mark X na GX100? Sema tu watu wamemezeshwa tu na wewe ni mmoja wao na nahisi hata hyo Toyota unazozitetea hata vitz huna
Unamwelewesha hataki kuelewa kwa sababu amesoma lakini hakuelimika. Gari tofauti na Toyota zinaendelea kuongezeka lakini wanaturusisha nyuma watu kama hawa vijana wadogo wenye mawazo ya miaka ya 1877
 
Watanzania wengi tuna attitude ya kutaka kuonekana tuko rich wakati ni makapuku 😂 matokeo yake ndio kujitutumua.

Gari za Toyota kuanzia 2015 ziko equipped na Safety features na preventive maintanance package ya Toyota Sense. Ina driver assistance kama lane departure, auto beams, Kdss, pedestrian sensors, 360 view na makorokoro kibao.

Tatizo tunanunua Rav 4 massawe za mwaka 1998 halafu tunataka kuzi compare na gari za 2009 yani miaka 10 mbele.
Hao Watanzania wa kununua Toyoda ya 2015 wako wapi boss?
 
Jamii forums ni darasa Zuri sana kwa wasomaji, kila msomaji aangalie urefu wa kamba yake kama atapenda amiliki gari gani maana maisha ni safari ndefu Leo umepata pesa baada ya miaka mitano; ishirini je zitakuwepo?
 
Watanzania umasikini upo kwenye damu hata tukipata pesa yaani unaacha kununua kitu upate mapumziko bado unawaza ukitaks kuuza labda uwe unanunua magari ya kuuza sio kutumia...
 
Back
Top Bottom