Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

Wenzio hao hawezi kununua gari ingine hadi auze aliyonayo, aongezee hela ndio anunue nyingine. Sasa mtu kama huyu akininunua gari anafikiria siku anauza iwe rahisi.
 
So, kumiliki gari tofauti na toyota manake vipato vinaruhusu. Na wengine hawanunui ili wauze, wanayaweka uwani yajifie tu.
Yaani gari tofauti na Toyota tunanunua sisi maumivu wanasikia wengine! Halafu ni nani kawaambia kila mtu ananunua gari ili auze?! Niko na liToyota uwani sijaliendesha miezi karibu 7 sasa na siliuzi labda aje ndugu yangu nimpe.
 
Wafia toyota i.e. wazee wa vitz, ist, raumu etc utawajua tu. Mawazo ni yale yale ya miaka 1968
 
Soma kwanza kabla ya kujibu nimekuuliza hayo magari ya Toyota unayoyatetea yanauzika kirahisi unajua resale value ya baadhi ya magari ya Toyota??
Mfano Brevis , Mark X na GX100? Sema tu watu wamemezeshwa tu na wewe ni mmoja wao na nahisi hata hyo Toyota unazozitetea hata vitz huna
 
Unamwelewesha hataki kuelewa kwa sababu amesoma lakini hakuelimika. Gari tofauti na Toyota zinaendelea kuongezeka lakini wanaturusisha nyuma watu kama hawa vijana wadogo wenye mawazo ya miaka ya 1877
 
Hao Watanzania wa kununua Toyoda ya 2015 wako wapi boss?
 
Jamii forums ni darasa Zuri sana kwa wasomaji, kila msomaji aangalie urefu wa kamba yake kama atapenda amiliki gari gani maana maisha ni safari ndefu Leo umepata pesa baada ya miaka mitano; ishirini je zitakuwepo?
 
Watanzania umasikini upo kwenye damu hata tukipata pesa yaani unaacha kununua kitu upate mapumziko bado unawaza ukitaks kuuza labda uwe unanunua magari ya kuuza sio kutumia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…