Kwa Tanzania vyama vya upinzani ni ulaghai. Lengo kubwa ni misaada ya wazungu

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Lengo ni kuwaaminisha ngozi nyeupe kuwa tuna demokrasia ya ushindani ya vyama vya siasa ili tupewe ma misaada ya hapa na pale maisha yasonge.

Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania.

Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala.

Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua. Viongozi wa juu wa vyama vya upinzani wanajua kila kitu kwenye huu mchezo. Wasiojua ni 'wafuasi' wa vyama vyao.

Vyama vya upinzani kwa Tanzania ni mradi wa kilaghai kwa ajili ya kuwarubuni wazungu misaada yao.

Sasa, wewe ukitaka kuwa serious na vyama vya upinzani kwamba eti vichukue dola basi umeumia sana.

Wale wengi wasioweza kufuatilia masuala kwa kina zaidi hawataweza kunielewa hapa.
 
Faida yake tunaiona hata kama dola ipo mikononi mwa ccm.
1.Soko huria
2.Maendeleo
3.Uhuru wa kweli
4.Huduma za jamii kupatikana kirahisi
5.Kuwa na wasomi wengi.
 
Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania.

Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala.

Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua. Viongozi wa juu wa vyama vya upinzani wanajua kila kitu kwenye huu mchezo. Wasiojua ni 'wafuasi' wa vyama vyao.

Vyama vya upinzani kwa Tanzania ni mradi wa kilaghai kwa ajili ya kuwarubuni wazungu misaada yao.

Sasa, wewe ukitaka kuwa serious na vyama vya upinzani kwamba eti vichukue dola basi umeumia sana.

Wale wengi wasioweza kufuatilia masuala kwa kina zaidi hawataweza kunielewa hapa.
Vyama vya siasa vyote sio upinzani pekee vinapokea fungu toka kwa mabeberu!! Issue ya kushika dola halina guarantee, wala hakuna tawala ya milele zaid ya utawala wa mbinguni!!!
 
Back
Top Bottom