Wizara ya nishati si alitolewa Kalemani akawekwa Januari MakambaTatizo wanaotolewa na wanaowekwa wote hovyo.
Hata Makamba aliwekwa kando leo ni Waziri wa Nishati hata kama hana uwezo wowote. Usije shangaa Doto Biteko sio tu anakuwa Waziri Mkuu hapo baadae hata Urais!Wakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Taja kazi anazofanya awamu ya sita?Hiv jamani ni kweli biteko hafanyi kazi au kuna watu wanachuki naye tu wanamsagia kunguni?
Akifanya hivy Mama yetu atakuwa mweupe peeeeeeeeeeeehWizara ya nishati si alitolewa Kalemani akawekwa Januari Makamba
Sasa usishangae katika wizara ya madini akatolewa Biteko akawekwa Nape Nauye
Kalemani ni msukuma, huyu ni mtusi.Kwani na yeye ni sukuma gang kama kalemani.....
Mtoto wa JKAkifanya hivy Mama yetu atakuwa mweupe peeeeeeeeeeeeh
Biteko siyo msukuma. Umedanganya!Biteko ni msukuma, ni mkristo, anatoka kanda ya ziwa, alikuwa kipenzi cha (kijana wa) mwenda zake
Zote hizi ni sifa za kupigwa chini na uongozi wa awamu ya 6
MhutuBiteko siyo msukuma. Umedanganya!
Hili jina asili yake ni ujitani .Biteko ni msukuma, ni mkristo, anatoka kanda ya ziwa, alikuwa kipenzi cha (kijana wa) mwenda zake
Zote hizi ni sifa za kupigwa chini na uongozi wa awamu ya 6
Ni very corrupt. Kama una hela nzuri ya kumpa, unataka kuchimba madini yoyote ndani ya leseni zilizofanyiwa utafiti na makampuni, utapewa eneo ndani ya mwezi mmoja, na mmiliki ataundiwa zengwe, atanyang'anywa.Hiv jamani ni kweli biteko hafanyi kazi au kuna watu wanachuki naye tu wanamsagia kunguni?
Hata tume ya madini haina CEO hadi leo , baada ya Prof manya kuteuliwa kuwa aibu waziri, Kwa sababu anayekaimu Nafasi hiyo ni ukanda uleNi very corrupt.
Ni mtusi, nawafahamu na ndugu zake in and out.Mhutu
Una uhakika Biteko ni Msukuma ???Biteko ni msukuma, ni mkristo, anatoka kanda ya ziwa, alikuwa kipenzi cha (kijana wa) mwenda zake
Zote hizi ni sifa za kupigwa chini na uongozi wa awamu ya 6
Mr sound huyo jamaa ni mwizi sana na wakati wa kiluo cha magu jamaa kaiba dhahabu sanaWakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Uwaziri sio mali ya mtu binafsi bro hata ww unaweza kuteuliwaWakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.