Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Malipo ni hapahapaMr sound huyo jamaa ni mwizi sana na wakati wa kiluo cha magu jamaa kaiba dhahabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ni hapahapaMr sound huyo jamaa ni mwizi sana na wakati wa kiluo cha magu jamaa kaiba dhahabu sana
Hata akiwa mwebrania ila ukanda uliokuwepo hatuutaki hii nchi ya watu woteKwani nani asiyejua teuzi za awamu hii..ni toa mwebrania weka mvaa kobazi hata kama ni kilaza na mpiga dili kama upara.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo wale wale. Tena familia nzimaKwani na yeye ni sukuma gang kama kalemani.....
Wakuu salaam,
Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Inasadikika Biteko kahodhi migodi mingi sana,na amewekeza maloli/magali makubwa ya kubeba mafuta ya kitambo kwa kupitia rafiki na ndugu yake Mnyarwanda blue cost ,kupeleka mafuta kwenye mgodi wa GGM,amenunua magali zaidi ya 40 scania na Benz.Naarifiwa kuwa zamu hii ni Biteko na Bashungwa wataliwa vichwa ili kuendelea kuwapunguza lake zone serikalini
Usinikumbushe January Makamba
Uwaziri sio kazi ya mtu binafsiNdo wale wale. Tena familia nzima
Umepata dina bossKuna ile team ya kwenye audio, shikamoo baba, ndio tunaandaa hapa barua juu ya tamko la wazee.
Mmoja wao kapewa wizara kaleta giza nchi nzima, bado kuna mmoja kabaki hajapewa fadhila,
Yetu macho.
Nchi inatoka kanani inarudi misri, sir God angani anacheka hihiii hiiii yaone yale
Wewe huwezi kuona na hata ukiambiwa katu kuelewa huwezi kwasababu unachuki na huyu bwn. Ongeza chuki, mseme kila thread ufurahi, andika kabisa, mtukane hadi akome. Ila ujue mimi nimechimba madini kwa miaka sasa kijana huyu na mnayoandika hayana mfanano nao.Ana
Taja kazi anazofanya awamu ya sita?