voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Huu usemi wa kulinda Amani yetu ni wa kipumbavu kabisa.Kachapane na familia yako mimi napenda amani. Ukraine wote wale wenye umri kati ya miaka 18 na 60 walilazimika kubaki nchini mwao kupigania nchi yao wakati wake na watoto wao wanaruhusiwa kuvuka mpaka kwenda nchi jirani. Tujifunze kulinda amani yetu. Wewe nadhani hata vita na Idd Amin hukuishuhudia ndo maana unabwabwaja ovyo ovyo. Tuilinde amani yetu.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Amani ipi wakati familia zikotaabika kwa mlo mmoja?
Amani ipi wanyonge wakilala giza na viongozi wakilala unono?
Amani ipi Bandari zikiuzwa kwa wajomba?
Wenye Amani ni wale wanaolamba asali ?
Wenye Amani ya nchi hii ni wateule wa Rais na machawa wao!
Eti Amani yetu.....
Ipi hiyo?