Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

Huu usemi wa kulinda Amani yetu ni wa kipumbavu kabisa.
Amani ipi wakati familia zikotaabika kwa mlo mmoja?
Amani ipi wanyonge wakilala giza na viongozi wakilala unono?
Amani ipi Bandari zikiuzwa kwa wajomba?

Wenye Amani ni wale wanaolamba asali ?
Wenye Amani ya nchi hii ni wateule wa Rais na machawa wao!
Eti Amani yetu.....
Ipi hiyo?
 
Imeandikwa wapiii kwamba kutenguliwa kiongozi kutoka kwenye nafasi yake kwamba maana yake kakosea?? Sio kila anayetenguliwa maana yake kakosea. Ondoa imani potofu
 
Viongozi ni walewale , kinachofanyika ni kutolewa goli la kusini kupelekwa goli la kasikazini. Hata wale ambao waliwahi kuwa hukooo nyuma utashangaa wanapigwa suti mpyaaa sasa hivi bila ya kujali huko nyuma aliboronga vipi.
 
Msamehe bure wengine ni maziwa mdomoni, watoto wa miaka ya juzi.
 
Kama taifa tuna ombwe kubwa sana katika kufanya vesting ya viongozi wetu,hakuna weledi na tafakari sanifu yenye tija bali uchawa na kujuana.

Honorable causa amekuwa raisi wa teuzi na tenguzi,badala ya kusimamia miradi ya kimkakati ya serikali yenye tija kwa wananchi.
 
Acha upumbavu wewe yaani unatoa mifano isiyokuwa na uringanifu kabisa.Hivi Ukraine na viongozi wa Tanzania kutoleta maendeleo kupitia teuzi za maana na uhakika Kuna uhusiano gan?
 
MAMBO YA AJABU SANA UNA SHINDWA KAZI UNAPANGIA KAZI NYINGINE
 
Ndio anachokiweza zaidi ya hapo hamna kitu
 
hata km kuna mvua na matope eti mama anaupiga mwingi
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Utatumia? Salalee kiswahili kililetwa na Waarabu
 
samia pamoja na ushungi wake ana roho mbaya sana yule mama.
 
[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…