Huu mtaji ni mdogo kwa biashara zote mbili. Uwakala ili ukulipe lazima mtaji uwe mkubwa na mzunguko uwe mkubwa. Mzunguko wa 5m kwenye uwakala unaweza ambulia 150,000 or less kwa mwezi. Commission sio kubwa kwenye miamala.
Upande wa probox kwa 5m utapata iliyochoka sana hivyo hela itakayozalishwa itaishia kwenye matengenezo
Risk zinatofautiana. Kama vipi fuata mirungi Kenya uje uuze ama bangi hapo Tarime uilete mwanza utapiga hela. Risk zipo Ila zinatofautiana. Hata huko kwenye miamala utaibiwa ukikaa kizembeKatika utafutaji wa pesa, nothing is risk-free. Siyo muoga wa kupoteza ... am risk taker.
Asante kwa insights.
fungua uwakala wa bank na mitandao ya simu mambo ya magari hayaeleweki unaweza ukashangaa limewaka moto au limepata ajali sikushauri
Kwa upande wa kwanza nakataaa🌝🌝Huu mtaji ni mdogo kwa biashara zote mbili. Uwakala ili ukulipe lazima mtaji uwe mkubwa na mzunguko uwe mkubwa. Mzunguko wa 5m kwenye uwakala unaweza ambulia 150,000 or less kwa mwezi. Commission sio kubwa kwenye miamala.
Upande wa probox kwa 5m utapata iliyochoka sana hivyo hela itakayozalishwa itaishia kwenye matengenezo
Risk zinatofautiana. Kama vipi fuata mirungi Kenya uje uuze ama bangi hapo Tarime uilete mwanza utapiga hela. Risk zipo Ila zinatofautiana. Hata huko kwenye miamala utaibiwa ukikaa kizembe
Hakuna biashara ya kibwege kama hiyo ya magari. Anzisha biashara ya uwakala.
Na uhakikishe tu huingii kwenye 18 za matapeli/majambazi.
Kwa mtaji huo, ukipata chimbo zuri hata Milioni unaweza kulaza kwa mwezi.
Uwakala wa bank haitoshi kuna wateja watataka kudeposit 10 million wengine watahitaji cash! Na vipi utatumia bank ngapi?
Maana kila bank itataka uwe na mtaji wa 3 million.
Na inatakiwa at least uwe na CRDB na NMB ndio bank zenye wateja na pia uweke uwakala wa mitandao ya simu ili kamisheni ziwe nyingi
Na gari kwa hiyo pesa utapata mkweche trip shamba, trip garage.
Nimeeleza from my own experience. Unachokatwa kwenye makato ya miamala sio anacholipwa wakala. Mtaji wa 5m ukiamua kuiweka float kwenye mtandao let say wa voda unaweza ukahudumia watu wawili au watatu ukajikuta huwezi kutoa huduma kwa either kuwa na float bila cash or kuwa na cash bila float. Kwa maneno rahisi ili shughuli ya uwakala ikulipe unahitaji mtaji mkubwa na mzungukoKwa upande wa kwanza nakataaa🌝🌝
Aandike na WOSIA, ikitokea ya kutokea . Maana wezi wa bodaboda ni hatariFungua uwakala wa bank
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🙌Itoe Fedha Mfukoni
Sasa afanye kipi kwa 5m manake umeishia kumkatisha tamaa tu bila kumpa njia mbadala ya kuweka hiyo pesa yake ili izae.Huu mtaji ni mdogo kwa biashara zote mbili. Uwakala ili ukulipe lazima mtaji uwe mkubwa na mzunguko uwe mkubwa. Mzunguko wa 5m kwenye uwakala unaweza ambulia 150,000 or less kwa mwezi. Commission sio kubwa kwenye miamala.
Upande wa probox kwa 5m utapata iliyochoka sana hivyo hela itakayozalishwa itaishia kwenye matengenezo
😅 😅 😅trip shamba, trip garage