Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

Utt bond unanunua wapi na procedures ni zipi ? Risks zipoje?
 
Fanya research movie studio,siyo biashara ya mtaji mkubwa sana lakini ina hela. Kuingiza movies,nyimbo ukajiongeza na memory card,flas (usb sticks).
 
Nielekeze wanapouza probox ml 5...nije ninunue...

Hiyo itakuwa probox kweli!? Ama BOX mkuu!?
 
Hilii swala nimekuwa nikijiuliza sana, hivi unakuwaje mkoa ambao bado ndio unachipukia ukawa na wizi na matukio ya kikatili kuliko majiji makubwa?

Na hii hali imekuja kuongezeka kuanzia mwaka 2021.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nashangaa kuhusu hali ya usalama mkoani Geita,hapiti wiki bila tukio la kikatili kutokea. RPC yule mama ajitathmini.
 
Nunua boda mbili wakati ukijitafuta.
 
Nunua ng’ombe mbili za maziwa zenye mimba kwa milion 2@ halafu 1M tengenezea banda la kuwatunzia kww kuanzia majani utakata mwenyewe.
 
mkuu Kayanda ulifanikiwa kuanzisha business yako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…