Kwa tuhuma za Kabendera, ni wazi kuwa waliomtolea Nape bastola na kumpiga risasi Lisu walitumwa

Pascal Mayalla aliuliza swali la msingi la kikatiba mwaka 2016 ajabu akajibiwa kuna mhimili umejichimbia chinchini zaidi.

Je kwa jibu hilo wapi kwenye katiba ilianishwa mhimili mmoja ndio ujichimbie chini zaidi ya mwingine wakati yapaswa iwe na "checks and balances"

Kuanzia hapo wenye akili tulielewa nchi inaendeshwaje.
 
Zilikuwa enzi za giza na hofu kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…