JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Actually amechelewa kujua.Mkuu kwani leo ndio unajua hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually amechelewa kujua.Mkuu kwani leo ndio unajua hilo?
Nacheka nikivuta picha ya chuchunge.Vimbwenerehi wake wakisoma nyuzi kama hizi watakuwa wanavuta midomo kwa hasira kama chuchunge.😂😂😂😂😂
Unataka kuamini huyo jamaa bado yuko hai!? Mimi mmachinga niliyefaidika na ruksa ya JPM ila ni ukweli jamaa alikuwa na moyo wa ukatili kupitilizA. Mwenyezi amlipe kwa kadiri alivyotenda.
Pascal Mayalla aliuliza swali la msingi la kikatiba mwaka 2016 ajabu akajibiwa kuna mhimili umejichimbia chinchini zaidi.
Je kwa jibu hilo wapi kwenye katiba ilianishwa mhimili mmoja ndio ujichimbie chini zaidi ya mwingine wakati yapaswa iwe na "checks and balances"
Kuanzia hapo wenye akili tulielewa nchi inaendeshwaje.