The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Japo Kikwete anajulikana kwa kujitoa ufahamu, kwa mtama aliomwaga slowsliow sijui kama analala usingizi.
Japo twamjua ni jahiri mwenye masikio lakini asiyesikia, hili litakuwa limemtingisha. Yeye na genge lake, sijui watatumia utuli upi kujisafisha wasafishike.
Kikwete ni kiumbe wa ajabu sana. Ukimsikia asemayo au kuona ajichekeshavyo, unaweza kudhani ni binadamu. Tangu enzi za mzee ruska, Kikwete ameiingiza kaya kwenye makashfa lukuki. Ajabu ya maajabu, bado anataka apewe pesa tena.
Hii kama si laana ni nini? Kama siyo kichaa ni nini? Kama si ugonjwa ni nini? Je ni lini wadanganyika watamtibu?