Kwa tuhuma zinazomkabili Kikwete sijui kama analala

Kwa tuhuma zinazomkabili Kikwete sijui kama analala

Sometimes nakata tamaa kabisa, ila kuna nafsi inaniambia usiwaze Tanzania mpya inakuja na hutaamini.
 
Wabongo mnashangaza sana hao watu walishakosa ata lepe la aibu tangu zaman ,
Kwanza angalia statements zinazotolewa na vijana wao
 
Haya maisha noma sana ukiwa tajiri shida ukiwa maskini shida, yaani mzee msoga mtu nitajiri anakila kila kitu kwenye maisha, tena ni rais mstaafu kokote anapokwenda hana foleni wala kizuizi leo kweli anakufa kwa stress?
Maisha ya mwanadamu ni matokeo ya yale afanyayo na yale asiyoyafanya wakati alitakiwa kuyafanya.
 
FB_IMG_1758911940479.jpg
 
Wanasema hatunae Tena, lakini Mimi siamini, huwenda ni mbinu yake ya kupotea ama kujificha ili kujitoa hatiani Kwa kashfa zinazo mkabili.
 
Back
Top Bottom