The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hata mimi nimesikia hili, ❤️ attack??breaking news soon
Aminaaaaaa!!!!breaking news soon
Naombea iwe kwelibreaking news soon
Katoka kufanya birthday party hv karibuni kama sio janaHata mimi nimesikia hili, ❤️ attack??
Nyumbu wazazi wako ingawa wewe ni chawa wa kiwete na rostam unayeshiba kwa kunyonya makalio yaoNyie nyumbu achen ujinga
Ww n nyumbu, mm sishabikii chama chochote cha siasaNyumbu wazazi wako ingawa wewe ni chawa wa kiwete na rostam unayeshiba kwa kunyonya makalio yao
Nitachinja ng'ombe aseeHata mimi nimesikia hili, ❤️ attack??
Japo Kikwete anajulikana kwa kujitoa ufahamu, kwa mtama aliomwaga slowsliow sijui kama analala usingizi.
Japo twamjua ni jahiri mwenye masikio lakini asiyesikia, hili litakuwa limemtingisha. Yeye na genge lake, sijui watatumia utuli upi kujisafisha wasafishike.
Kikwete ni kiumbe wa ajabu sana. Ukimsikia asemayo au kuona ajichekeshavyo, unaweza kudhani ni binadamu. Tangu enzi za mzee ruska, Kikwete ameiingiza kaya kwenye makashfa lukuki. Ajabu ya maajabu, bado anataka apewe pesa tena.
Hii kama si laana ni nini? Kama siyo kichaa ni nini? Kama si ugonjwa ni nini? Je ni lini wadanganyika watamtibu?
AAAAAAAMINA NA IWE HIVYO, AMINA. TUOMBE LILE TEZI DUME LIMALIZE KAZI
breaking news soon