Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Aise! Naamuru malaika wa Mungu wakukamate hapo ulipo na kisha uje ushuhudie mwenyewe kuwa Mungu yu hai na ni wewe ambaye hujui kuwa hujui
 
Kuna Kipindi Inafika madoctor wanashindwa wanakwambia mpelekeni t nyumban au kwenye Imani zenu mnazo amini na mtu anapelekwa anapona kabisa
 
Leo kabla jua halijazimika, utakiri kuwa Yesu ni Bwana!
Mimi ni Mkristu tena Mkatoliki, dini ilikoanzia yapata miaka 2000 iliyopita lakini huniingizi kwenye huo upuuzi wenu wa kudanganya eti mnaponya watu.

Nyie walokole mumekuwa frustrated halafu manakutana na watoto wa mjini kutoka Tukuyu akina Mwamposa, Lusekelo na Mwakasege. Lazima mudanganyike sana na mpagawe
 
Hata hujui kuwa dini haikuanzia Kwa wakatoliki sasa nikusaidiaje? Subiri ataleta ushuhuda hapa...
 
Mungu yuko mmoja tu aliyehai. Hao manabii wenu ni matapeli tu. Najuwa huwezi kukubali wala kuelewa umekwishatekwa vibaya
Yaani we mwenyewe hujielewi[emoji1787].
Una ugonjwa wa afya ya akili ndugu yangu.
Pambana na hali yako ilimradi unakiri kwamba Mungu ni mmoja na yupo hai basi huo uharo mwingine umenifanya nikuone mjinga fulani hivi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Humu Kuna wagonjwa wa akili wengi,yaan humjui mtu kaja na mkasa wake afu unaanza kubisha,mnacho bisha nn Sasa?Wachawi hebu punguzen hasira mkisikia Mambo ya Mungu mbona mnaungua ivyo?.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mshindwe na mteketee
Kuna jamaa mmoja kabila moja maarufu sana Kigoma tulipanda nae basi la Allyz tokea Dodoma, siku ile ndio niliamini hawa jamaa ni kweli wabishi, tena ubishi wa KIJINGA kabisa, jamaa pila kupepesa macho anabishana abiria kwenye basi kwamba Arusha sio Mkoa bali ni sehemu ya Kilimanjaro aisee nilikuwa namwangalia usoni na anavyojiamini nikaamini kweli hii Dunia kuna watu wanamatatizo ya akili.
Usishangae mkuu mtu hamjui mleta mada ila anambishia tukio lake dah hatari sana.
 
Uponyaji wa Imani unafanyika Kwa Imani. Sasa anaendaji Ocean road Kwa wagonjwa ambao hawajawa na Imani hiyo????
Unaweza kuipima imani ya mtu kwa kutumia nini?
 
ulitaka mama ake afe kavaa hijabu eti
 
Hao jamaa usije hata mara moja ukawasikiliza naamini kwa uelewa wa kawaida mtu anaekaa akatafakari jambo hawezi elewa huo ujinga,ridhiki zetu anapanga Mungu sasa kuna nini cha ziada kinafanyika hadi mimi tu niuze?je siku nikijisikia week nzima nipike mapishi yaliyojaa kutosha mzunguko wa wateja wa mtaa husika ni kusema hawa wenzangu watalala njaa si ndiyo?

Mungu gani anafanya kazi kwa namna hii?ktk hii scene utaona kinachofanya kazi ni kikombe kipya na siyo jina la Mungu sasa hapa inabidi kuhoji hiki kikombe kina nguvu gani na hizo nguvu kimezitoa wapi?wapo wajinga wanaokamatwa kizembe kuziamini hizi drama na kwenda kununua hivyo vikombe kwa gharama kubwa,zaidi ya kuwaita wajinga hakuna jina lingine la kuwafaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila waha wamezid,unaweza ukajikuta unamrukia mtu kwahasira ukapata kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…