Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Ndugu mtoa Uzi usitegemee baath ya watu watakuamini kwa hbr ya uponyaji, wkt WA Yesu walikua wanaona life na hawamini.
Watu wanaamini Mungu ila wanaxikana nguvu zake

Ni kweli
 
Uongo wa karne huku uchagan uislamu haupo kabisaπŸ˜…πŸ˜…
 
Mungu yupo
Mungu ana okoa Mungu anaponya ana bariki na kutakasa!
Aiseeehhh kuna tukio lilinitokea binafsi mpaka waleo ninajua na ninaamini hakuna nguvu ya giza itayoelekezwa kwangu ikafanikiwa!!

Acheni Mungu aitwe Mungu!

GOD IS GREAT!
 
Njoo kwa Yesu haraka willingly usisubiri ukutane na mitihani ya mauti.
Yesu ni Bwana
Ni kweli kwanza ukienda Muhimbili Amana, Temeke na hospitali zilizoko Dar na mikoani Wagonjwa siyo Wakristo. Wakridto. hawakutani na mitihani.
 
Mungu yupo
Mungu ana okoa Mungu anaponya ana bariki na kutakasa!
Aiseeehhh kuna tukio lilinitokea binafsi mpaka waleo ninajua na ninaamini hakuna nguvu ya giza itayoelekezwa kwangu ikafanikiwa!!

Acheni Mungu aitwe Mungu!

GOD IS GREAT!

Amin
 
Amini usiamini ni ww sikulazimishi baba ila mama yangu yu mzima wa Afya hilo tu
Mallia hakuna jina hilo labda baba yako ni muislamu ,ila umelelewa na single mother ambaye ni mkristo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kumbe umeishia hapo ulipoishia? Nafikiri ungesoma ukamaliza uzi wa mdau hapo ungejua nini kilitokea kwa yule mgonjwa. Kwa ufupi Yesu wa Nazarethi ndiye aliyemponya. Ni kuamini tu unapona maana hao madaktari walishashindwa.

Lkn pia haikwepeki kuwa bila Yesu hufiki peponi Maana biblia inasema yeye ndiye njia na uzima. Lakini haiishii hapo imeandikwa pia kua Yeye ndiye Mwanzo na huyo huyo ndiye Mwisho. Na kwa kumalizia, Mbele yake kila goti litapigwa. Nakukaribisha ndg umwamini huyu Yesu.
 
Yesu ni mzuri sana. Nikitaka, kwa Jina la Yesu ewe mungu wa kikuresh njoo kwa kupiga magoti anatii na kuja. Nikimuamuru arukeruke kichupa anaruka ruka. Kwa kuwa wamefungwa na Ibilisi hawaoni wala kutambua hilo ila.ni kweli, Yesu ni halisi na ana mamlaka na uweza wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…