Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Utajua mwenyeweKwahiyo.?
Taifa teule kupasuka sio mchezo😁Sasa hv mnachambua hadi kaul,kwa njia ya matawi😂😂
Sikia nyie wavaa makubazi. Kila bomu Israeli alilotuma Iran lilipiga target. Wakati iran drone zake 90% zililipuliwa angani na "irone dome " ni around 10% tu ndo zilipiga nyumba za makazi! Israel ililenga vinu vya nyuklia, kambi za jeshi, maghara ya silaha, na miundombinu wezeshi za kijeshi. Ndo maana Jinsi siku zilivyokuwa zinaenda idadi ya mabomu ya Iran yalipungua mpaka 10 wakati muziki wa Israel unaongezeka mpaka Trump kaikemea Israel "don't drop those bomb, bring back your war plane" 😄😄Taifa teule kupasuka sio mchezo😁
Sisomi udaku🚮Sikia nyie wavaa makubazi. Kila bomu Israeli alilotuma Iran lilipiga target. Wakati iran drone zake 90% zililipuliwa angani na "irone dome " ni around 10% tu ndo zilipiga nyumba za makazi! Israel ililenga vinu vya nyuklia, kambi za jeshi, maghara ya silaha, na miundombinu wezeshi za kijeshi. Ndo maana Jinsi siku zilivyokuwa zinaenda idadi ya mabomu ya Iran yalipungua mpaka 10 wakati muziki wa Israel unaongezeka mpaka Trump kaikemea Israel "don't drop those bomb, bring back your war plane" 😄😄
Wagalatoa mngejua israel hana time na nyinyi waabudu masanamu wala msingeuza makalio kwajili yao"TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!”
...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa Iran, na inaonekana kulenga kubeza au kupuuza mafanikio ya shambulizi la Iran dhidi ya Israel.
🧠 Muktadha wa Kisiasa na Mzaha:
Kwa anayeelewa siasa na diplomasia ya kimataifa:
Trump anajulikana kutumia kejeli na mzaha wa dharau ("sarcasm"), hasa anapozungumza kuhusu wapinzani au mataifa hasimu.
Kama Israel haikupata madhara makubwa, lakini Iran ikadai “imeipa somo,” basi kauli hiyo ya Trump inaleta taswira ya kubeza matokeo ya mashambulizi ya Iran.
Kusema "those ballistic missiles took out a lot of buildings!" kwa msisitizo wa "Boy..." mara nyingi hutumiwa kwa kejeli Marekani — yaani, kusema kitu kana kwamba kilikuwa kikubwa, ilhali hakuwa akimaanisha kweli.
🔎 Kwa mtu aliyeenda shule:
Ni wazi kabisa kwamba:
Kauli hii haimaanishi kweli Israel iliharibiwa vibaya, bali ni mzaha wenye ujumbe wa kisiasa.
Ni kudhalilisha uwezo wa Iran kwa kusema walijitahidi lakini hawakufanikisha chochote cha maana.
😆😁😁😁😁Utajua mwenyewe