Kwa tulioenda shule, hii kauli ya Trump ilikuwa ya mzaa saana kwa Iran

Kwa tulioenda shule, hii kauli ya Trump ilikuwa ya mzaa saana kwa Iran

Shambulizi la Israel lilikuwa la kiufundi, sahihi na lenye malengo maalum, bila kupelekea vita ya moja kwa moja.

Shambulizi la Iran lilikuwa kubwa kwa idadi lakini lilidhibitiwa kwa ufanisi, kutokana na ulinzi mkali wa Israel na msaada wa kimataifa.

Tofauti hii inaonesha jinsi Israel ilivyo na ubora wa teknolojia, ushirikiano wa kimataifa, na nidhamu ya kijeshi.
Snambulio lilitawanywa na kupunguzwa nguvu...
 
Je umeona Malkia wa Holland alivyombeza Trump kwa kuongea wakiwa pamoja?

Sasa hiyo ndio dhihaka
 
Iran kaufyata. Kwann anabomolewa vinu vyake halafu anakubali kusitisha mapigano?

Iran alipaswa kudinda na kusema sikubali, mpk niisambaratishe Israel.
 
Wewe unajua ni kwanini Israel imepiga marufuku kupiga picha maeneo yaliyopigwa Israel? Wamekula kichapo ndio maana wanaficha madhaifu yao kwa kupiga marufuku kuchukua picha au vdo clip,

Eti kwa tulioenda Shule! Sasa wewe hata lugha yako tu kuiandika kwa ufasaha hujui,

Sio Mzaa ni Mzaha
Au huko Shule ulienda kusomea ujinga?

Acha kuleta tafsiri za kujifariji hapa,Tel Aviv na Haifa zimechakazwa.
 
For the second time, lile shambulio lilivyopangwa angepigwa nchi yoyote ile Hata za ulaya wasingetoboa, 1- mashambulizi yakitokea ndani Tena yakifyatua air defenses na kufanya assassination drones wave Kwa wave.
2- fighter jets zikipeleka moto maeneo muhimu na kuzuia maandalizi yoyote ya defense/offense-positioning.
Lakini Ayatola aliapisha makamanda wapya ndani ya Lisaa limoja na baada ya masaa 10 alipeleka moto haswa ukapunguza kasi ya adui na akakaa Kwenye line ya defense na akakamata source kuu ya Air defense disruption kutokea ndani, kilichofuata ni adui kuita maji mma....
 
Back
Top Bottom