Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hilo la bila mziki hilo nalitaka nijaribu [emoji3]Yaani Bus linalopiga mziki ni adui yangu kabisa
Ili nipate lisilopiga mziki lazima niende kama walivyo nauliza bus la bila mziki sio bus kwa kweli
Hapo kuna mmoja atajichanganya na kucheka na kusema KAMA HILO
Basi naenda panda hilo hilo [emoji1] [emoji1787]
Shabibiy yuko vizuri sana halafu ana gari za kutoshaShabiby alienda Dar Mbeya juzikati tu hapa kachomoa hata mwezi hajamaliza
Kuhusu kuwa na mpinzani.. i bet haujaexplore bado kwa wengine [emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
ABC kashasurvive mbona sababu yupo kitambo sasa ni almost mwaka sasaShabibiy yuko vizuri sana halafu ana gari za kutosha
Na gari zake zote ni standard kwa kweli.
Hii route sijui ina nini aisee, [emoji119]
Tuone ABC labda atasurvive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi gari iwe ya uhakika, huyo jirani yangu asiwe na bughudha. Mwisho kabisa nipate seat yangu karibu backbench huko.Binafsi ili safari yangu iwe nzuri na niifurahie huwa nahitaji vitu vichavhe tu, kwanza kabisa gari linalozingatia muda na pia ile huduma yetu pendwa ya kuchaji simu lakini pia gafi ambalo ni nadhifu kwa maana ya usafi wa ndani na nje wa basi, nikipata vitu hivyo tu basi huwa nashawishika kupanda basi hilo.
Kwako wewe unazingatia nini?View attachment 2718244
Itakua ushapitia comments zangu😁😁😁Au ABC [emoji3][emoji3] Maana nahisi I can guess the place [emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Sijawahi jutia kupanda shabibyShabiby hana mpinzani hii nchi
Natamani asambaze gari zake direction zote
Apeleke na Dar Mbeya,,hii route ukitoa ABC na na New force,hakuna gari ingine inayoeleweka
Mwaka pekeyake haitoshiABC kashasurvive mbona sababu yupo kitambo sasa ni almost mwaka sasa
Plus anaenda Njombe, Mafinga na Iringa which means he is familiar na kanda ya nyanda za juu kusini
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Siti ya mwisho kushoto dirishani huwa ni the best kwangu au hata ya kuliaMimi gari iwe ya uhakika, huyo jirani yangu asiwe na bughudha. Mwisho kabisa nipate seat yangu karibu backbench huko.
Hapana [emoji3][emoji3] ni vile tu umetaja kitu kinachoelekeana na jibu languItakua ushapitia comments zangu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nimewah jutia [emoji3]Sijawahi jutia kupanda shabiby
Mbeya kaanza mwezi wa 3 mwaka huu and still anafanya poa sanaMwaka pekeyake haitoshi
Iringa alikuwa nayo muda mrefu
Ila Mbeya hakuwa nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani walikuwa wanasema new force brings new feelings!Hawa jamaa kwanza uaminifu hawana, Halafu pia sio wasikivu, Mwendo wao tu barabarani utafurahi, ni kama umepanda fastjet.. sjui ndo maana wanajiita NEWFORCE
Hizi vigezo na masharti [emoji2][emoji2][emoji2] sasa kuna kampuni hazina namba E ila zipo poa sana utafanya nn sasa1. Iyo kampuni iwe na magari mengi na ruti nyingi. (Ikitokea imezingua njiani fasta chuma nyingine inawapitia).
2. Gari safi na latest. Kwasasa anagalu namba ECA kuja mbele.
3. Iwe mchina. Sitaki Scania, Marcopolo sijui nn.
4. Iwe na ofisi Nje ya Magufuli.
5. Tiketi wakate kwa kile kimashine.
6. Wasiondoke saa 10 usiku.
7. Nikiwauliza washkaji wawe wanaijua.
Unyama ni mwingi sana.Mimi ndio gari langu kwa route zote za Dodoma.Sijawahi jutia kupanda shabiby
Safi kabisa. Hizo seat za mbele huko mimi hapana kabisa.Siti ya mwisho kushoto dirishani huwa ni the best kwangu au hata ya kulia
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Hilo la uchakavu ondoa maana Kuna maeneo huwa mabasi ni chakavu Sana na ni kampuni moja tu mfano mwanza sumbawanga ni kampuni ya RUCHORO tu ndo hufanya safari hizo....mabasi yake Sasa.Basi linaloheshimu muda
Walau lisiwe chakavu
Mm dar to kaskazini shwaaaaaaah hii hapa hata abiria wake hawana majonzi safarini 🤣🤣🤣nyuso zao Zina nuruUnyama ni mwingi sana.Mimi ndio gari langu kwa route zote za Dodoma.
Ile VIP yao ni habari nyingine[emoji119]ndege ya nchi kavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuaje kaka