nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 694
- 1,104
- Thread starter
- #21
Lakinj lilikua vizuri sana by the time linaoperate
Nakumbuka kupanda DRG mara mbili na DXE mara moja
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakinj lilikua vizuri sana by the time linaoperate
Hujakutana na hizi namba [emoji3][emoji3] AVA, BAX, ATH za Asante Rabi au AQK, AQN, BVA, etc za KILIMANJARO EXPRESS[emoji3]aisee mimi huwa ninaangalia plate number kwanza. nikiona ni ya kitambo hilo bus nalitilia mashaka sana
Alikuwa na gari 2 tuLakinj lilikua vizuri sana by the time linaoperate
Nakumbuka kupanda DRG mara mbili na DXE mara moja
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa kwanza uaminifu hawana, Halafu pia sio wasikivu, Mwendo wao tu barabarani utafurahi, ni kama umepanda fastjet.. sjui ndo maana wanajiita NEWFORCELolote lile ila sio NEWFORCE
Aliongeza gariAlikuwa na gari 2 tu
Ndo tatizo.
The same to Sauli.
Wamekuwa matapeli,gari hakuna tena.
Amebaki new force anatamba hana mpinzani.
Na ABC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi hakuna hata 1Aliongeza gari
Zilikuwepo DRG 2 na DXE 1 na DXD 1
Sijui alifeli wapi ila alikua kashawateka watu
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Kama unakuwaga na safari za Mbeya kuna sehemu panaitwa Iyovi kama driver wenge hachelewi kuwamwaga poriniChombo inayomwaga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa location nayotokea mimi Nampa kura yangu shabiby
Kwenye konaKama unakuwaga na safari za Mbeya kuna sehemu panaitwa Iyovi kama driver wenge hachelewi kuwamwaga porini
Au ABC [emoji3][emoji3] Maana nahisi I can guess the place [emoji3]Kwa location nayotokea mimi Nampa kura yangu shabiby
Fafanua namba 2 hapoYafuatayo hua nazingatia
1) mwendokasi na kuwahi kufika(uzingatifu wamuda)
2) kampuni ndani ya Miaka 10 ilishapata ajali ya mana ,kama hapana sipandi
Hayo TU
Hii imekaa kama Dodoma Moshi hivi [emoji3]Mara nyingi natumia shabby au Machame kama nainasafiri na Bus
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
Shabiby hana mpinzani hii nchiKwa location nayotokea mimi Nampa kura yangu shabiby
Sahihi kabisa mkuu gari zake smart sanaShabiby hana mpinzani hii nchi
Natamani asambaze gari zake direction zote
Apeleke na Dar Mbeya,,hii route ukitoa ABC na na New force,hakuna gari ingine inayoeleweka
Shabiby alienda Dar Mbeya juzikati tu hapa kachomoa hata mwezi hajamalizaShabiby hana mpinzani hii nchi
Natamani asambaze gari zake direction zote
Apeleke na Dar Mbeya,,hii route ukitoa ABC na na New force,hakuna gari ingine inayoeleweka