Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Habari

Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.

WHY?

Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na wasiwasi kua Mashabiki wa simba hawatompa kura..ataanza kutishia wale viongozi wa Simba na wengine watafukuzwa kwa mihemko ndani ya simba kwa kile kitakacho semwa kutotii Mamlaka ya Nchi ila hao watakaofukuzwa watakua na back up ya mashabiki so itazidi kumvuruga sana huyu Bibi.

Sema sina Uhakika kama Simba hawataleta Team ila kama msipoleta niwaambie kabisa mtakua mmefanya jambo kubwa kuliokoa hili Taifa na mtakua mmetoa ujumbe mkubwa mno kwa serikali na wataacha kuwatumia kama Toilet paper.

Na ukweli ni kua Simba mtakua mmepigania mabadiliko ya watanzania katika Mambo mengi sio katikasoka tu.

Simba nipo na nyie Msilete Team Leo, ili huyu Mama avurugwe kabisa.
 
Waliokua wanataka mabadiliko wangeungana na Yanga wakati anagomea mechi ile iliyoahirishwa tar 08 Machi. Nyie ambao mnasema mnagoma saivi mnataka kuleta tu mikanganyiko na ujuaji usio na maana.

Acheni utoto njooni tucheze mpira
 
Habari

Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.

WHY?

Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na wasiwasi kua Mashabiki wa simba hawatompa kura..ataanza kutishia wale viongozi wa Simba na wengine watafukuzwa kwa mihemko ndani ya simba kwa kile kitakacho semwa kutotii Mamlaka ya Nchi ila hao watakaofukuzwa watakua na back up ya mashabiki so itazidi kumvuruga sana huyu Bibi.

Sema sina Uhakika kama Simba hawataleta Team ila kama msipoleta niwaambie kabisa mtakua mmefanya jambo kubwa kuliokoa hili Taifa na mtakua mmetoa ujumbe mkubwa mno kwa serikali na wataacha kuwatumia kama Toilet paper.

Na ukweli ni kua Simba mtakua mmepigania mabadiliko ya watanzania katika Mambo mengi sio katikasoka tu.

Simba nipo na nyie Msilete Team Leo, ili huyu Mama avurugwe kabisa.
Umesema vizuri mkuu, japo wengine watacoment kishabiki lakini ujumbe wako ni kwa maslahi mapana ya taifa
 
Simba leteni timu uwanjani. Achaneni na mawazo ya mtoa mada. Mkikimbia kwa mara nyingine tena, mtazidi tu kujiharibia wasifu wenu.
 
Nchi ina vituko sana hii asbh asubuh tayari madam za Simba na yanga,,mchana pombe jioni kahawa na alskasusu na video za makalio FB,insta na tik tok
 
Kolo hawana ubavu wa kutoleta timu mkuu, ondoa hayo matumaini hewa.
 
Habari

Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.

WHY?

Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na wasiwasi kua Mashabiki wa simba hawatompa kura..ataanza kutishia wale viongozi wa Simba na wengine watafukuzwa kwa mihemko ndani ya simba kwa kile kitakacho semwa kutotii Mamlaka ya Nchi ila hao watakaofukuzwa watakua na back up ya mashabiki so itazidi kumvuruga sana huyu Bibi.

Sema sina Uhakika kama Simba hawataleta Team ila kama msipoleta niwaambie kabisa mtakua mmefanya jambo kubwa kuliokoa hili Taifa na mtakua mmetoa ujumbe mkubwa mno kwa serikali na wataacha kuwatumia kama Toilet paper.

Na ukweli ni kua Simba mtakua mmepigania mabadiliko ya watanzania katika Mambo mengi sio katikasoka tu.

Simba nipo na nyie Msilete Team Leo, ili huyu Mama avurugwe kabisa.
Kweli we msenge maji
 
Back
Top Bottom