Habari
Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
WHY?
Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na wasiwasi kua Mashabiki wa simba hawatompa kura..ataanza kutishia wale viongozi wa Simba na wengine watafukuzwa kwa mihemko ndani ya simba kwa kile kitakacho semwa kutotii Mamlaka ya Nchi ila hao watakaofukuzwa watakua na back up ya mashabiki so itazidi kumvuruga sana huyu Bibi.
Sema sina Uhakika kama Simba hawataleta Team ila kama msipoleta niwaambie kabisa mtakua mmefanya jambo kubwa kuliokoa hili Taifa na mtakua mmetoa ujumbe mkubwa mno kwa serikali na wataacha kuwatumia kama Toilet paper.
Na ukweli ni kua Simba mtakua mmepigania mabadiliko ya watanzania katika Mambo mengi sio katikasoka tu.
Simba nipo na nyie Msilete Team Leo, ili huyu Mama avurugwe kabisa.