THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Naunga mkono hojaTusingefika huku kama mngeleta timu ile game ya tarehe 8.
Mimi sio Simba mi ni yanga Labda kama ni mgeni humu.Tusingefika huku kama mngeleta timu ile game ya tarehe 8.
soma nyuzi zangu zingine ujue mi ni team gani.Mnaogopa Nini wanetu wa Simba sc
Mkuu akivurugwa wewe utanufaika na niniMimi sio Simba mi ni yanga Labda kama ni mgeni humu.
Naombea hili iĺi limvruge Mama yenu.
Sawa mwanangusoma nyuzi zangu zingine ujue mi ni team gani.
Waliokua wanataka mabadiliko wangeungana na Yanga wakati anagomea mechi ile iliyoahirishwa tar 08 Machi. Nyie ambao mnasema mnagoma saivi mnataka kuleta tu mikanganyiko na ujuaji usio na maana.Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
Umesema vizuri mkuu, japo wengine watacoment kishabiki lakini ujumbe wako ni kwa maslahi mapana ya taifaHabari
Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
WHY?
Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na wasiwasi kua Mashabiki wa simba hawatompa kura..ataanza kutishia wale viongozi wa Simba na wengine watafukuzwa kwa mihemko ndani ya simba kwa kile kitakacho semwa kutotii Mamlaka ya Nchi ila hao watakaofukuzwa watakua na back up ya mashabiki so itazidi kumvuruga sana huyu Bibi.
Sema sina Uhakika kama Simba hawataleta Team ila kama msipoleta niwaambie kabisa mtakua mmefanya jambo kubwa kuliokoa hili Taifa na mtakua mmetoa ujumbe mkubwa mno kwa serikali na wataacha kuwatumia kama Toilet paper.
Na ukweli ni kua Simba mtakua mmepigania mabadiliko ya watanzania katika Mambo mengi sio katikasoka tu.
Simba nipo na nyie Msilete Team Leo, ili huyu Mama avurugwe kabisa.
Uhitaji kuwa timu fulani kutambua kama Simba angeleta timu tarehe 8 tusingefika huku.Mimi sio Simba mi ni yanga Labda kama ni mgeni humu.
Naombea hili iĺi limvruge Mama yenu.
Kweli we msenge majiHabari
Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
WHY?
Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na wasiwasi kua Mashabiki wa simba hawatompa kura..ataanza kutishia wale viongozi wa Simba na wengine watafukuzwa kwa mihemko ndani ya simba kwa kile kitakacho semwa kutotii Mamlaka ya Nchi ila hao watakaofukuzwa watakua na back up ya mashabiki so itazidi kumvuruga sana huyu Bibi.
Sema sina Uhakika kama Simba hawataleta Team ila kama msipoleta niwaambie kabisa mtakua mmefanya jambo kubwa kuliokoa hili Taifa na mtakua mmetoa ujumbe mkubwa mno kwa serikali na wataacha kuwatumia kama Toilet paper.
Na ukweli ni kua Simba mtakua mmepigania mabadiliko ya watanzania katika Mambo mengi sio katikasoka tu.
Simba nipo na nyie Msilete Team Leo, ili huyu Mama avurugwe kabisa.
Tar15 nani alikimbia?Simba leteni timu uwanjani. Achaneni na mawazo ya mtoa mada. Mkikimbia kwa mara nyingine tena, mtazidi tu kujiharibia wasifu wenu.