Gori la mama mtalipa,ndege ya mama muanzie hapo kutaka mabadilikoHabari
Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
WHY?
Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na wasiwasi kua Mashabiki wa simba hawatompa kura..ataanza kutishia wale viongozi wa Simba na wengine watafukuzwa kwa mihemko ndani ya simba kwa kile kitakacho semwa kutotii Mamlaka ya Nchi ila hao watakaofukuzwa watakua na back up ya mashabiki so itazidi kumvuruga sana huyu Bibi.
Sema sina Uhakika kama Simba hawataleta Team ila kama msipoleta niwaambie kabisa mtakua mmefanya jambo kubwa kuliokoa hili Taifa na mtakua mmetoa ujumbe mkubwa mno kwa serikali na wataacha kuwatumia kama Toilet paper.
Na ukweli ni kua Simba mtakua mmepigania mabadiliko ya watanzania katika Mambo mengi sio katikasoka tu.
Simba nipo na nyie Msilete Team Leo, ili huyu Mama avurugwe kabisa.
Habari

Naunga mkono hoja. Mimi ni yanga lakini endapo leo simba asipoleta timu watakuwa wamenifurahisha sana na nitaanza rasmi kuwa mshabiki wao. Movement for change.
Uhitaji kuwa timu fulani kutambua kama Simba angeleta timu tarehe 8 tusingefika huku.
Naunga mkono hoja
Hii hekima mngeifanya tarehe 15Waliokua wanataka mabadiliko wangeungana na Yanga wakati anagomea mechi ile iliyoahirishwa tar 08 Machi. Nyie ambao mnasema mnagoma saivi mnataka kuleta tu mikanganyiko na ujuaji usio na maana.
Acheni utoto njooni tucheze mpira
Tarehe 15 ilipangwa na watu waliokosa sifa, na ndiyo maana waliondolewa baada ya hapo.Tar15 nani alikimbia?
Tar 15 yanini na wakati tar 08 Machi hamkuleta timu. Kama mngekuja hiyo tar 8 haya yote yasingetokeaHii hekima mngeifanya tarehe 15
Uzi uishie hapaWaliokua wanataka mabadiliko wangeungana na Yanga wakati anagomea mechi ile iliyoahirishwa tar 08 Machi. Nyie ambao mnasema mnagoma saivi mnataka kuleta tu mikanganyiko na ujuaji usio na maana.
Acheni utoto njooni tucheze mpira